Iliki ni kiungo cha tatu kuuzwa kwa gharama duniani.
1. Zaffron
2. Vanilla
3. Cardamom (Iliki) japo hapa kwetu ni bei rahisi na inapatikana Mara kwa mara
Iliki ni zao la biashara na kilo moja ya iliki hufikia Tsh 30,000 -35,000
Iliki husaidia sana mzunguko wa damu mwilini, kule inakolimwa kila chakula huwekwa iliki kuanza mihogo ya nazi mpaka wali maharage.
Iliki inadhibiti vidudu vinavyoozesha chakula.
Maandazi ya iliki yana maisha marefu zaidi.
Ndiyo maana wanaume wa Pwani hawana hasira, inasemeka Iliki ni zao ambalo husaidia ku control moods.
Iliki ni natural antibiotic inayotibu kuanzia U.T.I mpaka gonorrhoea. Basi kama umeligonga gono usianze kutafuna iliki pata ushauri wa daktari kwanza.
Wapishi wengi wanapenda kutumia iliki kwa kuwa inaongeza radha na harufu nzuri kwenye vyakula.
Hata hivyo, pamoja na kuchochea harufu nzuri pia ina virutubisho vingi ikiwa ni pamoja na vitamini A na C, madini ya calcium, potassium, sodium, copper, zinc na magnesium.
Pia inaipa figo uwezo wa kuondoa taka mwili na kusaidia kuweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula tumboni.
Iliki pia inasaidia kuondoa hali ya kiungulia na gesi tumboni na tatizo la kukosa choo.
Saga iliki kisha tumia unga wake kijiko kimoja cha chakula katika maji moto yaliyo katika kikombe cha chai. Kunywa kila siku muda wa wiki mbili utaona matokeo mazuri katika mwili wako
Utafiti uliofanywa na Chuo cha Pharmacy of King Saud kilichoko Said Arabia ulibaini kuwa iliki ina uwezo mkubwa wa kuboresha mishipa ya damu kwenye moyo na hivyo kuulinda dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mfumo wa moyo.
Iliki pia inaondoa maradhi ya kinywa kinachotoa harufu mbaya na kutibu vidonda vya mdomoni. Cha kufanya Tumia unga wa iliki uliochanganywa na maji ya uvuguvugu kisha sukutua mdomoni kila siku asubuhi na jioni muda wa wiki tatu.
Kiungo hiki pia ni msaada kwa wenye maamhukizi katika njia ya mkojo magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana.
•Tumia kijiko kimoja cha unga wa iliki katika uji usio mzito katika kikombe cha chai kila siku muda wa wiki mbili.
Iliki pia inasaidia kukinga saratani na shinikizo la damu iwapo utatumia kwa kuzingatia maelekezo kutoka kwa wataalamu wa afya.
Pia ina uwezo wa kuondoa tatizo la pumu katika hatua za awali na inapochanganywa na mdalasini inasaidia kupunguza maumivu ya koo.
Mara ya mwisho kutumia Iliki ni lini!?
Usisahau kusambaza maarifa haya kwa ndugu na jamaa ili kwa pamoja tunufaike na masomo haya ya Afya.
Kwa wewe mwenye tatizo la:
•Miguu/mikono kufa ganzi na kuwaka moto (neuropathy)
•Baridi Yabisi (Arthritis)
•Bawasiri/Kupata choo kigumu, maumivu na kijinyama kutoke nje wakati wa haja kubwa
•Ngiri/Hernia
•Matatizo ya uzazi, hedhi na Ugumba kwa jinsia zote
•Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa
•Kutibu athari za punyeto
•Kisukari (Aina zote)
•Presha (Aina zote)
•Pumu/Asthma
•Lipoma (Uvimbe unaojitokeza katika mwili halafu hauna maumivu yoyote)
•U.T.I Sugu, Fangasi ukeni, Harufu mbaya kwenye kinywa, ukeni na kadhalika.
TUPO KWA AJILI YAKO
Wasiliana nasi kwa:
PIGA/SMS/WhatsApp +255769321005
TIBA ASILI ZINAPATIKANA KWA GHARAMA NAFUU

Comments
Post a Comment