Mdudu Wa Kidole: Hili ni jina la jumla ambalo sisi Waswahili tunalitumia kwa ugonjwa wowote unaosababishwa na maambukizi ya bakteria, virusi, au kuvu (fangasi) katika kidole, hasa katika eneo la ncha ya kidole pale ukucha unapoungana na nyama.
Kujua ni aina gani hasa ya mdudu amekuambukiza ni mpaka ufanyiwe uchunguzi wa kimaabara.
Maambukizi haya husababisha maumivu makali na uvimbe. Iwapo tiba sahihi haitafanywa ndani ya muda muafaka madhara yanaweza kuwa makubwa sana ikiwa ni pamoja na kupoteza kidole husika au kupata ulemavu.
Dawa asili unazoweza kuifanya ukiwa nyumbani kwako ni pamoja na;
1: Kuponda mchanganyiko wa tembele na kitunguu maji na kufungia kwenye eneo lenye maambukizi. Kwa kawaida tiba hii hutoa nafuu kubwa ndani ya muda wa saa ishirini na nne.
2: Tiba nyingine mujarabu ni kufungia kinyunye cha choroko zilizopondwa na kuchanganywa na siki ya tufaha (white apple cider vinegar)
3: Tafuta unga wa habasoda vikombe vitatu vya kahawa, vitunguu thomu kiasi kiganja kimoja vimenywe na kutangwa viwe laini, chumvi ya mawe vidonge saba vikubwa vitwangwe na siki ya zabibu, vikombe saba vya kahawa, vitu vyote hivyo vichanganywe pamoja kisha vitelekwe jikoni (vipikwe) na vikorogwe vizuri mpaka vichanganyike viwe kama ugali kisha ubandike kwenye kidole chenye tatizo mara mbili asubuhi na usiku wakati wa kulala.
Uwe na Ijumaa njema....
Unaweza kupata tiba hii asili kwa kututafuta WhatsApp au kwa kupiga simu 0769321005
Kwa Mahitaji ya Tiba za Uhakika za Mitishamba kwa Magonjwa sugu zinapatikana.
Duka letu lipo Ubungo Mkabala na stendi ya Mawasiliano simu2000.
Bay leaves, Oregano, Rosemary, Basil, Black seed, Mkunde Pori pamoja na mafuta yake sasa vinapatikana.

Comments
Post a Comment