ALOEVERA TONIC, Tiba Asili Yenye Kujibu Changamoto Zako Kiafya.

Hebu tuone,
ALOE VERA TONIC:

Hii ni juisi halisi ya Aloe vera iliyochanganywa kidogo na kitunguu saumu na ndimu ili kuipa nguvu zaidi na kuiboresha.
Asilimia 96% ya Aloe vera mna maji ambayo ndani yake mnapatikana:
i) Essential oil.
ii) Amino acid.
iii) Minerals.
iv) Vitamins
v) Enzymes.
vi) Glycoproteins na
vii) Acemannan.
Acemannan huupa mwili nguvu na kinga dhidi ya maradhi kwa sababu huipa nguvu T-lymphocyte cells ambayo huipa mwili kinga (immune booster).
Juisi ya Aloe vera kwa kunywa hunawirisha ngozi na kutibu maradhi mengi ya ngozi kama acne eczema.

Huondoa muwasho wa ngozi na vichomi kwa ndani ya mwili na huzuia kujikuna kuna. Pia huondoa alegi (Allergy).
Aloe vera hutibu maradhi mengi sana kwa sababu ukinywa huua virusi, bacteria na fangasi ndani ya damu na tumbo. Pia husafisha na kuondoa ndani ya damu na tumbo sumu na kemikali itokanayo na vyakula vya viwandani na madawa ya hospitali.

Aloe vera pia hutibu vidonda vya tumbo (ulcers), husaidia tumbo kusaga chakula vizuri, huboresha mzunguko mzuri wa damu, huwapa nafuu kubwa sana wale walioathirika kwa maradhi ya kisasa (HIV) kwa sababu huipa nguvu na kuiboresha chembechembe nyeupe hai ya damu (white blood cells). Kazi ya chembe chembe nyeupe hai ya damu ni kuukinga mwili dhidi ya maradhi (immune system).
Huongeza kinga mwilini (CD4).
Pia hutibu kisukari, ngiri, malaria, chango la akina mama, pumu na matatizo ya mkojo.

•Dozi: Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara mbili (1x2) asubuhi kabla ya chakula na usiku kabla ya kulala. Kikombe cha kahawa ni sawa na vijiko vitano vikubwa vya chakula (table spoon). Kwa tiba ya maradhi mengi sugu utumie angalau dozi ya lita moja ya Aloe vera.

Unaweza kutumia Aloe vera hata kama huumwi ikawa ni kama kinga ya maradhi na kusafisha damu, kutoa bacteria, virusi, fangasi na sumu ya kemikali ya madawa ya hospitali au vyakula vya viwandani.
Aloe vera pia huwafaa sana walioathirika kwa ulevi wa pombe au madawa ya kulevya kwa sababu hutoa mwilini hamu na athari ya ulevi huu. Kemikali ya ulevi huingia hadi ndani ya damu na kumfanya mhusika kuwa madawa haya ni sehemu ya damu yake na hawezi kuishi bila ya kuyatumia. Ukisafisha damu na kutoa athari hii ya pombe au madawa ya kulevya basi yaweza kupunguza na kukata hamu ya ulevi.
Pia hutibu na kuvipa nafuu viungo vya ndani vilivyoathirika au kuharibika kutokana na ulevi huu kama vile mapafu na utumbo. Pia huwafaa wavutaji sigara.

ONYO:
Aloe vera haitakiwa kutumika kwa mama mjamzito.

Inapatikana katika ujazo unaotaka kuanzia Tsh 40,000 na kuendelea,

Pia hatujakusahau wewe mhitaji wa Mitishamba (herbs) kama Oregano, Rosemary, Mrehani (basil), black seed, Ceylon cinnamon, viazi vyekundu (beetroots), Rosella, mafuta ya mimea kwa wagonjwa wa,

•Miguu/mikono kufa ganzi na kuwaka moto

•Baridi Yabisi (Arthritis)

•Bawasiri/Kupata choo kigumu, maumivu na kijinyama kutoke nje wakati wa haja kubwa
•Ngiri/Hernia

•Matatizo ya uzazi, hedhi na Ugumba kwa jinsia zote

•Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa

•Kutibu athari za punyeto

•Kisukari (Aina zote)

•Presha (Aina zote)

•Pumu/Asthma

•Lipoma (Uvimbe unaojitokeza katika mwili halafu hauna maumivu yoyote)

•U.T.I Sugu, Fangasi ukeni, Harufu mbaya kwenye kinywa, ukeni na kadhalika.
Pia tunafanya delivery bure kwa wakazi wa Dar mkoani unatumiwa kwenye Bus
Wasiliana nasi kwa:
PIGA/SMS/WhatsApp +255769321005


#BidhaaAsili kwa #AfyaBora

Comments