Katika orodha yetu ya vyakula, nilikuandikia pia tikiti maji na leo nahitaji tuelekezane jinsi ya kulitumia kuongeza nguvu za kiume....
•Tunda hili linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kukuondoa katika hatari ya kupatwa na shinikizo la juu la damu.
Tikiti maji pia ni mkuyati wa asili pia kama lilivyo parachichi, tangawizi na kitunguu saumu.
Kwenye tikiti maji kuna vitu hivi vitatu muhimu sana kwa afya ya mapenzi navyo ni ‘lycopene’, ‘beta-carotene’ na ‘citrulline’ ambavyo husaidiwa kuweka mishipa ya
damu katika hali ya utulivu.
Tikiti maji ni mkuyati wa asili inayoweza kutumika kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa watu wa jinsia zote mbili bila
kukuacha na madhara yoyote mabaya.
Kwenye tikiti maji hasa mbegu zake kuna kitu kingine kinaitwa ‘L-arginine’ ndicho ambacho huhusika na kuongeza nguvu za kiume.
Mbegu za tikiti maji zimeonyesha matokeo mazuri katika kuimarisha nguvu za kiume hata kwa wazee kabisa kama ilivyo mbegu za maboga.
Unachohitaji ni kula tikiti maji kila siku angalau kipande kimoja sambamba na mbegu zake, kwa mwezi mmoja uone feedback zake
Hiyo ni dondoo yetu ya leo, ila kwa ujumla tunaamini ili mwanaume aimarike kisawasawa anahitaji kuwa na nidhamu katika maeneo matatu ambayo ni orodha ya vyakula, mazoezi mepesi na mtindo wa maisha, ngoja nikufafanulie hapa chini:
1: Mazoezi hutusaidia kutupa pumzi ya kutosha na kuwezesha misuri kuwa na nguvu zaidi na mtiririko mzuri wa damu, huimarisha hisia zetu na kuongeza kiwango cha uzalishaji manii. Changamoto ya wengi wetu ni tupo mjini na shughuli nyingi hivyo muda na eneo la mazoezi hatuna na gharama za kwenda gym bado wengi hatuwezi kuzimudu ila hilo si tatizo sana kwa sisi tunaohitaji kuongeza nguvu za kiume kwani kuna zoezi jepesi la Kegel ambalo halihitaji muda mwingi sana wala halihitaji eneo kubwa.
Ni wewe tu kulala chali na kukunja miguu na kubinua kiuno kuelekea juu kwa muda wa dakika moja kisha unashuka chini (raundi 15 inatosha) nimekuwekea youtube unaweza kutazama kipande hicho kifupi cha video kwa kubofya https://
youtu.be/_8LipVPmAdQ
kuitazama kina 1MB tu sawa na bure na faida zaidi linazuia ukuaji wa tezi dume hivyo usiache kulifanya...
2: Chakula
Siku zote chakula, matunda na maji ndio nishati kubwa ili sisi tuendelee kuwa imara zaidi, ila sio kila chakula ni muhimu kwako maana kuna junk foods ambazo si salama kwako, ili upone kabisa tatizo la nguvu za kiume ni kuhakikisha unaupa mwili vyakula na virutubisho muhimu vyenye kuongeza uimara wa misuri na kuchochea uzalishwaji wa homoni za kiume (testosterone) ambapo unapaswa kupata vyakula vyenye madini ya boron kwa wingi, bromelain, nitrate, potassium, calcium, oxytocin, omega 3, selenium, zinc ya kutosha, calcium n.k.
Unapata kwa wingi virutubisho hivi kwa kutumia mafuta ya samaki, kunywa juisi ya viazi vyekundu, kula karanga, mboga za kijani, asali ya nyuki wadogo, mdalasini, tangawizi, kitunguu saumu, majani ya habat sawda, komamanga, bamia, pweza, chaza, mlonge, mbegu za maboga, tikiti maji, mihogo ya kuchemsha, red wine (mvinyo mwekundu),ndizi mbivu, tende na maziwa ya mbuzi, na vyakula vya jamii hiyo, kati ya hivyo usikose kula angalau vitatu kwa siku
3: Mtindo Wa Maisha
Epuka au punguza ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi kama chipsi, mayai ya kisasa, achana na junk foods, pombe pia achana nazo kitaalamu mwanaume bia mbili kwa siku inatosha sana, achana na tabia ya kuangalia picha za ngono, epuka mapenzi kinyume na maumbile. Fanya kilicho chema kwa afya yako
Ukizingatia hayo kwa siku 28-40 utanishukuru katika hili
Vile vile tunayo
Bora kwa ajili yako.
Ni Juisi na Mafuta
JUISI ni kwa ajili ya kuongeza homoni za kiume kwa wingi, hufanya kuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa maradufu, huondoa tatizo la kuwahi kufika kilele/mshindo na kutoa manii mengi, bora na yenye Afya.
MAFUTA huondoa udhaifu wa uume, hunyoosha maumbile na kukuza uume kama unaonekana mdogo wa kurudi ndani au kuwa legevu.
Jinsi ya kutumia nitakuelekeza baada ya kupokea oda yako naamini tutazungumza na kujifunza mengi.
Bei ni kulingana na kiwango chako uhitaji.
Dozi kamili ni tsh 65,000 juisi na mafuta kwa wakazi wa Dar [free delivery]
Ukihitaji nusu ni tsh 35,000 kwa Dar.
Kwa Mawasiliano;
Piga/WhatsApp 0757487684
TIBA ZA MITISHAMBA, VIUNGO NA UNGA WA LISHE VINAPATIKANA
Comments
Post a Comment