Sisi Tunaufahamu kama MTULA

Uite Mtunguja, mtunguja-mwitu, mtura, mtula, mtulwa, mtua, mtuatua, mndulele, mnyanya-mwitu au mnyanya-pori ni majina mbalimbali ya mimea ya familia Solanaceae.

Wengi tumekuwa tukitumia kama mboga au kiungo kimoja wapo katika kunogesha mboga lakini wachache mno wanaojua faida za nyanya chungu kiafya.
Pamoja na kufanya mboga kuwa na ladha na harufu ya aina yake, nyanya chungu zina kazi kubwa katika mwili wa
binadamu ikiwa ni pamoja na kujenga na kuimarisha afya ya mlaji.

Nyanya chungu ipo kwenye kundi la mbogamboga zenye virutubisho vingi ikiwemo vitamin A, B, na C ambazo zote kwa pamoja hufanya kazi ya kuboresha afya ya mwili kwa ujumla.

Nyanya chungu pia husaidia kuimarisha kinga ya mwilli na kumsaidia mlaji kuepukana na magonjwa ya mara kwa mara.
Hizi pia ni kinga zinayoweza kumwepusha mlaji kupata maradhi ya moyo. Kwa wagonjwa wa kisukari nyanya chungu pia ni dawa inayoweza kusaidia katika kupunguza kiwango cha sukari ndani ya mwili.

Vitamin K inayopatikana ndani ya nyanya chungu inasaidia kuipa nguvu mishipa ya damu hivyo kusaidia zoezi zima la mzunguko wa damu katika mwili wa binadamu.
Licha ya kuwa karibu asilimia 90 ya nyanya chungu ni maji mboga hii pia inajumuisha madini ya chuma na potassium.

Mara ya mwisho kula mtula au nyanya chungu ni lini!?!
Afya yetu ipo katika mimea, ipende na kuitunza asili yako.

Karibu Ofisi zetu zilizopo Ubungo mawasiliano mkabala na kituo cha daladala,
TUNAZO TIBA ASILI mbalimbali ikiwemo zinazotibu tatizo la;

•Miguu/mikono kufa ganzi na kuwaka moto
•Baridi Yabisi

•Bawasiri/Kupata choo kigumu, maumivu na kijinyama kutoke nje wakati wa haja kubwa

•Ngiri/Hernia

•Matatizo ya uzazi, hedhi na Ugumba kwa jinsia zote

•Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa

•Kutibu athari za punyeto

•Kisukari (Aina zote)

•Presha (Aina zote)

•Pumu/Asthma

•Lipoma (Uvimbe unaojitokeza katika mwili halafu hauna maumivu yoyote)

•U.T.I Sugu, Fangasi ukeni, Harufu mbaya kwenye kinywa, ukeni na kadhalika.

Pia tunafanya delivery bure kwa wakazi wa Dar mkoani unatumiwa kwenye Bus

Wasiliana nasi kwa: 
PIGA/SMS/WhatsApp +255769321005
_______
Tunakuhakikishia kuwa na afya njema zaidi ukiitunza na kuihudumia afya yako kwa vyakula na bidhaa asili daima.

"_Usiruhusu moyo kukata tamaa, kila changamoto inayo suluhu yake hivyo Usijifungie ndani ukiwa na matatizo yako ya afya, tafuta Ushauri na tiba ili ufurahie maisha yako ukiwa na Afya njema."

Comments