Tips Zenye Kukusaidia Kuacha Kabisa Mchezo Wa Punyeto na Jinsi ya Kuimarisha Tena Uume Uliolegea

Umekuwa ukijiuliza ufanye nini ili kuacha punyeto au usishiriki mchezo huu mchafu?

Huu ni mchezo ambao huenda umekuathiri na umejikuta ukiwa teja (mraibu) kila ukijaribu kuacha unajikuta umeanguka tena.
Naweza kukushauri yafuatayo kama kijana mwenzangu

Kwanza kwanza kabisa ni kuuchukia, badala ya kukumbuka faida za punyeto za muda mfupi, kumbuka athari zake za Muda mrefu, kuwa dhaifu kimaumbile ni hasara kubwa na yenye majuto likumbuke hili popote kabla hujashikilia maiki yako kuisugua.

>>>Kama muda na umri haukuruhusu kuwa na mke au mchumba, basi fanya yafuatayo:

•Kama bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi hatarishi.

•Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku.
Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu sababu ya mazoezi

•Usikae peke yako muda mrefu bila kuwa size na shughuli yoyote. Kichwa kitupu ni nyumba ya maasi mengi.

•Epuka vyakula vyenye mafuta mengi

•Tumia muda ambao huna kazi kwa kulala na hivyo utakuwa unaipumzisha pia akili yako

•Usikae muda mrefu maeneo kama ya bafuni au chooni

•Usipende kujishikashika na mkono wako sehemu zako za siri wakati wowote.

•Futa picha zozote chafu iwe kwenye simu au computer yako na usitembelee blog au tovuti yoyote yenye picha hizo, kama upo kwenye magroup ya namna hiyo kwenye mitandao ya kijamii basi jiondoe haraka iwezekanavyo. Jiweke bize kutimiza kusudi la kuumbwa kwako kwanza, Hukuletwa duniani kupiga mgarara, fikra hasi ni chukizo kwa Muumba wetu sote

HAKUNA DAWA YA KUKUFANYA WEWE UACHE PUNYETO ISIPOKUWA NIDHAMU YA KWAKO BINAFSI.
Jiwekee misingi na iheshimu, ukijiheshimu kutoka nafsini mwako basi haitotokea ukauharibu mwili wako kwa tamaa za muda mfupi.

Sote tumesafahamu  madhara ya punyeto na jinsi ilivyoharamu, nanukuu maneno kutoka kitabu kitakatifu kwamba, 

Yakobo 4: 17 *"Mtu yeyote anayefahamu lililo jema kutenda, lakini asilitende, basi mtu huyo anatenda dhambi."*

Jitahidi kwa sababu tumeyajua haya basi tuyatende si kwa sababu ya wengine tu ila kwetu sisi binafsi.

Yapo mengi ya kuzingatia ili kuimarisha uume wako, na kukupa Uhuru tena wa kufanya vizuri katika tendo la ndoa, JIFUNZE, ELIMIKA kisha WAELIMISHE na jamaa zako.

MAENEO MATATU YA KUZINGATIA VIZURI KAMA UNAHITAJI KUIMARISHA NGUVU ZA KIUME....

Wakati wengine wakinunua madawa, kuchoma sindano na kumeza vidonge, mimi na wewe tuendelee kudumu katika asili yetu japo inachukua muda wa wiki kadhaa au mwezi mmoja kukaa sawa ila tunakuwa na uhakika wa matokeo ya kudumu zaidi na kuepuka gharama za kununua madawa tena na tena.


Kama kweli una nia na dhamira ya dhati, naomba uwe tayari kuboresha au kufuata mambo haya matatu ambayo ni BURE kabisa
1:Mazoezi
2:Chakula
3:Mtindo wa Maisha

1: Mazoezi hutusaidia kutupa pumzi ya kutosha na kuwezesha misuri kuwa na nguvu zaidi na mtiririko mzuri wa damu, huimarisha hisia zetu na kuongeza kiwango cha uzalishaji manii. Changamoto ya wengi wetu ni tupo mjini na shughuli mingi hivyo muda na eneo la mazoezi hatuna na gharama za kwenda gym bado wengi ni masikini, hilo si tatizo sana kwa sisi tunaohitaji kuongeza nguvu za kiume kwani kuna zoezi la Kegel ambalo halihitaji muda mwingi sana wala halihitaji eneo kubwa.

Ni wewe tu kulala chali na kukunja miguu na kubinua kiuno kuelekea juu kwa muda wa dakika moja kisha unashuka chini (raundi 15 inatosha) nimekuwekea youtube unaweza kutazama kipande hicho kifupi cha video kwa kubofya https://
youtu.be/_8LipVPmAdQ
kuitazama kina 1MB tu sawa na bure.

2: Chakula

Siku zote chakula, matunda na maji ndio nishati kubwa ili sisi tuendelee kuwa imara zaidi, ila sio kila chakula ni muhimu kwako maana kuna junk foods ambavyo si salama kwako, ili upone kabisa tatizo la nguvu za kiume ni kuhakikisha unaupa mwili vyakula na virutubisho muhimu vyenye kuongeza uimara wa misuri na kuchochea uzalishwaji wa homoni za kiume (testosterone) ambapo unapaswa kupata vyakula vyenye madini ya boron kwa wingi, bromelain, nitrate, potassium, calcium, oxytocin, omega 3, selenium, zinc ya kutosha, calcium n.k.
Unapata kwa wingi virutubisho hivi kwenye mafuta ya samaki, viazi vyekundu, karanga, mboga za kijani, asali ya nyuki wadogo, mdalasini, tangawizi, kitunguu saumu, majani ya habat sawda, komamanga, bamia, pweza, chaza, mlonge, mbegu za maboga, tikiti, mihogo ya kuchemsha, red wine, tende na maziwa ya mbuzi, na vyakula vya jamii, hiyo.

3: Mtindo Wa Maisha
Epuka ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, achana na junk foods, pombe pia achana nazo au kunywa kwa ustaarabu yaani jitahidi sana kujipa utaratibu mzuri wa kula, mbali na kuimarisha afya yako.

Nimekuwa nikifundisha jinsi ya kutengeneza tiba ya kuongeza nguvu za kiume ila kwa sababu ya uhaba wa malighafi wengi mnashindwa kujiandalia hivyo nikuombe wewe kama utahitaji kujiandalia kabla hujanitafuta kuomba jinsi ya kuchanganya hakikisha una vitu hivi:
Blenda
Unga wa msamitu
Asali mbichi ya nyuki wadogo
Unga wa habat sawda na Mdalasini wa india (ceylon cinnamon)
Tangawizi
Vitunguu saumu
Mbegu za maboga.... nitakuelekeza cha kufanya.


KWA WALE WANAOHITAJI AMBAYO IMEANDALIWA package yako ipo tayari.

Ni Mixed Herbs (Juisi yenye mchanganyiko wa asali ya nyuki wadogo na virutubisho asili) ambapo nimekuwekea na MAFUTA YAKE.

JUISI ni kwa ajili ya kuongeza homoni za kiume kwa wingi, hufanya kuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa maradufu, huondoa tatizo la kuwahi kufika kilele/mshindo na kutoa manii mengi, bora na yenye Afya.

MAFUTA huondoa udhaifu wa uume,.hunyoosha maumbile na kukuza uume kama unaonekana mdogo wa kurudi ndani baada ya kupiga punyeto.


Jinsi ya kutumia nitakuelekeza baada ya kupokea oda yako naamini tutazungumza na kujifunza mengi.

Bei ni kulingana na kiwango chako uhitaji.

Dozi kamili ni tsh 60,000 juisi na mafuta yake (lita juisi na mafuta.) kwa wakazi wa Dar

Kama ukihitaji kuanza na nusu dozi ni tsh tsh 35,000 kwa wakazi wa Dar

Usafirishaji kwa watu wa mkoani ni kuanzia tsh 3,000 hadi tsh 5,000 inategemea na mkoa ulipo

Kwa waliopo Dar, Duka la tiba lishe: tunapatikana Ubungo Mawasiliano jirani kabisa na kituo cha daladala cha simu2000

Kwa wanaopiga simu au kuwasiliana nami whatsapp, namba ni +255769321005

Tuitunze na kuidumisha afya yetu kwa kutumia bidhaa asili.

Mwenyezi Mungu akubariki

Comments