JINSI NILIVYOACHA KUPIGA PUNYETO NA NJIA ASILI NILIZOTUMIA KUIMARISHA NGUVU ZA KIUME BILA GHARAMA KUBWA
Nimeamua kukushirikisha somo hili bure baada ya kukutana na swali kutoka kwa mpenzi na mfuatiliaji wa blogu hii ya Afya. Hebu tuone swali lake........ “Mimi nashangaa kwa kujiuliza kama kupiga punyeto ni kosa katika macho ya Mungu. Je! kutaathiri afya yangu ya kimwili na/au ya kiakili katika wakati ujao na ikiwa mimi nitapata kufunga ndoa? Je, naweza kujinasua vipi na kuondoa madhara yake?”—Anauliza Marcus mwenye miaka 21.
Pengine hata wewe ungependa kufahamu nini maana ya kupiga punyeto/mgalala/ au puli kama lugha za mtaani zisemavyo.
Kupiga punyeto ni kujichochea nyege kimakusudi ili kutokeza msisimuko wa ngono kisha kuamua kujichezea sehemu nyeti mpaka kufikia kilele [kumaliza haja zako kingono].
Wapo wanaotumia vifaa vya kisasa [dildo], wengine hukandamiza sehemu zao nyeti kwenye godoro au sehemu yoyote laini ila almost kila MWANAUME HUTUMIA SABUNI AU MAFUTA kisha kupakaa uume na kuanza kusugua uume wake huku wakivuta hisia juu ya mwanamke yoyote anayemvutia akilini mwake, huendelea kusugua mpaka pale anapomwaga shahawa nje bila kujua kama anaharibu mfumo wake wa uzazi na kuleteleza matatizo makubwa yanayoweza kumgharimu ukubwani.
Kwa asilimia kubwa wengi wetu tumeanza kupiga punyeto kipindi tukiwa shule za bweni [boarding schools] kwa sababu ya kufikia umri wa kubalehe tukiwa katika mazingira yaliyokuwa magumu kum-approach msichana kwa sababu ya kuwa wote wa jinsia moja au uoga wa kutongoza. Mazingira mengine mfano gerezani, kambi za mafunzo ambazo watu hukaa jinsia moja pekee husababisha mwanaume kujihusisha na upigaji punyeto kwa sababu ya ugumu wa kupata jinsia ya kike.
Mchezo huu ukiwa wa mara nyingi, una madhara makubwa ila hapa nakuandikia yale matatu makubwa ambayo hukosesha furaha ndoa nyingi kwani Unapopiga punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume ambayo ndio inaufanya uume usimame.
Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kusimama imara
Mishipa ya uume iliyolegea kutokana na upigaji punyeto, huleta madhara yafuatayo
i. Huondoa uwezo wa mishipa ya uume kurelax.
(Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume inarelax, mishipa ikirelax husababisha mishipa ya ateri kupanuka na kuruhusu damu iingie ndani ya mishipa ya uume na hatimaye kuufanya uume usimame na kuwa mgumu)
ii. Mishipa ya uume ikishindwa kurelax husababisha mishipa ya ateri kuziba
iii.Mishipa ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia kwenye mishipa ya uume, na hata ikitokea damu imeingia ndani ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama basi utasimama ukiwa legelege sana na hapo ndipo kero inapoanzia kwani kila ukijaribu kuingiza uume unanywea.
Madhara mengine ni pamoja na kuwahi kufika kileleni, kupiga goli mara na kukosa hamu ya kuendelea na raundi nyingine au kama ukijitahidi basi inachukua muda mrefu sana uume kusimama mpaka uuminyeminye na kutunisha kichwa chake KERO SANA YAANI…!!!!
Kabla sijakuonesha njia nilizotumia kujitibu tatizo hili, kwanza tuelekezane CHA KUFANYA ILI KUACHANA NA UPIGAJI PUNYETO kama bado unaendelea na unatamani kuacha.
Sio rahisi kama unavyofikiri
Kitu ambacho hata mimi kimewahi kunikuta ni URAIBU wa mchezo huu [addiction of masturbation] Niliweka dhamiri mara nyingi za kuacha kujichua lakini nilikuwa nikijaribu ni wiki moja tu kisha najikuta wiki inayofuata narudi tena mchezoni, na kitu cha kushangaza kila unapomaliza kupiga punyeto hujikuta ukijichukia mwenyewe kwa nini umetenda jambo hilo tena.
nikutie moyo kwamba Kushindwa si mwisho wa safari, unaweza kutumia njia hizi ambazo hata mimi nilizitumia kuhakikisha najinasua
kwanza kabisa ni kuuchukia, badala ya kukumbuka faida za punyeto za muda mfupi, kumbuka athari zake za Muda mrefu, kuwa dhaifu kimaumbile ni hasara kubwa na yenye majuto likumbuke hili popote.
>>>Kama muda na umri haukuruhusu kuwa na mke au mchumba, basi fanya yafuatayo:
•Kama bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi hatarishi.
•Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku.
Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu sababu ya mazoezi
•Usikae peke yako muda mrefu bila kuwa size na shughuli yoyote. Kichwa kitupu ni nyumba ya maasi mengi. [an idle brain is a devil’s workshop]
•Epuka vyakula vyenye mafuta mengi
•Tumia muda ambao huna kazi kwa kulala na hivyo utakuwa unaipumzisha pia akili yako
•Usikae muda mrefu maeneo kama ya bafuni au chooni
•Usipende kujishikashika na mkono wako sehemu zako za siri wakati wote.
•Futa picha zozote chafu iwe kwenye simu au computer yako na usitembelee blog au tovuti yoyote yenye picha hizo, kama upo kwenye magroup ya namna hiyo kwenye mitandao ya kijamii basi jiondoe haraka iwezekanavyo.
HAKUNA DAWA YA KUKUFANYA WEWE UACHE PUNYETO ISIPOKUWA NIDHAMU YA KWAKO BINAFSI
Jiwekee misingi na iheshimu, ukijiheshimu kutoka nafsini mwako basi haitotokea ukauharibu mwili wako kwa tamaa za muda mfupi.
Sote tumeshafahamu madhara ya punyeto na jinsi ilivyo haramu, na nukuu maneno kutoka kitabu kitakatifu kwamba, "Mtu yeyote anayefahamu lililo jema kutenda, lakini asilitende, basi mtu huyo anatenda dhambi." Yakobo 4:17
Jitahidi kwa sababu tumeyajua haya basi tuyatende si kwa sababu ya wengine tu ila kwetu sisi binafsi kwanza.
Sasa kwa WALE AMBAO TUMEATHIRIWA NA MCHEZO HUU tunafanyaje Dr.
Nikutoe hofu kabisa kwani hujapoteza muda wako kufuatilia ukurasa huu. Amini Mwenyezi Mungu ameumba mimea kuwa Chakula na Dawa kwa binaadamu na bahati nzuri mimea yote ambayo nitakuelezea, inakunguzuka ila inahitaji wewe tu kuchukua maarifa na hatua thabiti kuhakikisha unajiimarisha kama nitakavyokuelekeza.
Ili uwe STRONG TENA, inakupasa kuzingatia tips hizi tatu na uzikumbuke mara kwa mara.
1: Vyakula
Hapa unahitaji vyakula vyote vyenye kusisimua na kuongeza uzalishwaji wa homoni ya testosterone kwa wingi, kuongeza ubora wa manii na kuipa misuri nguvu, vyakula hivi vizingatie na hakikisha kwa siku hukosi angalau vitatu kwenye orodha hii. Vyakula vya baharini mfano chaza na pweza, juisi ya tende, mbegu za maboga, bamia, ndizi mbivu, mbegu za tikiti, pilipili, tangawizi, chai ya iliki na mdalasini, vitunguu saumu, unga wa habat sawda, udishe au msamitu pia ni mzuri kama una tatizo la E.D. Unaweza kujifunza jinsi ya kuandaa kirutubisho chako mwenyewe nimekuandikia hapo chini
2: Zoezi la Kegel
Kama unao muda basi kufanya mazoezi ya mwili ni muhimu ila kama huna muda wa kutosha basi fanya zoezi la kegel tu kwa ajili ya kuimarisha misuri ya uume
~~~Lala chali, kunja miguu kuelekea kwenye kiuno kisha binua kiuno kuelekea juu kwa sekunde 15 kisha shuka then binua tena kiuno kwa raundi 15 hivi inatosha. Husaidia kuimarisha msuli unaoshikilia uume pindi unapokuwa umesimama (pelvic floor muscle)
3: Epuka ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, achana na junk foods, pombe pia achana nazo au kunywa kwa ustaarabu yaani jitahidi sana kujipa utaratibu mzuri wa kula, mbali na kuimarisha afya yako
Ukizingatia haya kwa siku angalau kuanzia 25 mpaka 35 naamini utapona na utaweza kumsaidia na jamaa zako wenye kuhitaji kupata maarifa haya kwani ndizo njia mabzo hata mimi natumia, na kila ninayemshauri kutumia njia hizi hupata mrejesho mzuri
Kama nilivyoahidi kwamba huenda ukahitaji kujifunza jinsi ya kuandaa kirutubisho chako mwenyewe Muhimu uwe na BLENDA [blending machine]
Mahitaji na vipimo vyake:
i./ Vitunguu saumu vilivyomenywa vizuri glass moja
ii./ Tangawizi kubwa nne, osha vizuri kisha zikatekate katika vipande vidogo vidogo
iii./ Mdalasini. Hapa unaweza kutumia mdalasini wowote ila ukipata mdalasini wa India (ceylon cinnamon) huwa mzuri zaidi, andaa vijiko sita tu.
iv./ Unga wa habat sawda vijiko vinne
v./ Asali lita moja, unaweza kutumia asali ya aina yoyote ila nzuri ni ile ya nyuki wadogo (raw bee honey)
vi. Msamitu, unga wake vijiko sita tu
Maandalizi;
Chukua vitunguu na tangawizi uchanganye kwa pamoja na usage kwenye blenda mpaka visagike, kisha weka unga wa habat sawda, mdalasini & msamitu na taratibu anza kumimina asali yako mpaka iishe, koroga mpaka mchanganyiko wako uwe mzito.
Baada ya mchanganyiko/juisi yako kuwa imekamilika, ifungashe juisi yako kwenye kifaa safi.
Matumizi yake utakuwa ukitumia vijiko vitatu asubuhi unapoamka hata kabla hujapiga mswaki na pia usiku utatumia vijiko viwili au vitatu kabla hujaenda kulala.....
kama una matatizo ya uume kusinyaa na kuwa legelege zingatia sana kegel exercises pia chukua mafuta ya vitunguu saumu (garlic oil), na mafuta ya mzeituni (olive oil) uwiano sawa kisha yachanganye kwa pamoja. Utakuwa ukiamka asubuhi unachukua kiasi kidogo tu mafuta kwenye viganja kisha kuusinga uume kwa kuunyoosha kuelekea mbele tu huku ukianzia kwenye shina.
Fanya hivyo mara kadhaa asubuhi au usiku muda... Hii huamsha misuri iliyosinyaa na kuwa na udhoofu kwa kiwango kikubwa....
Do you still have an excuse? Bado una sababu ya kushindwa kuandaa tiba ya kujiimarisha nguvu za kiume?
NDIYO, labda huna muda wa kuandaa au kupata baadhi ya vifaa au malighafi, usihofu kwani hapa kuna kila kitu kwa ajili yako……
nimekuandala •HAYALAND MIXED HERBS for MEN kwa ajili yako…
Ni Dawa Yenye kuongeza homoni za kiume, na kuondoa tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa hususani baada ya mshindo wa kwanza, huongeza stamina na kuondoa tatizo la kuwahi kufika kilele/mshindo kwa WANAUME waliothiriwa na punyeto na pia matatizo yote ya kushindwa kutungisha mimba kwani inakuwezesha kutoa manii mengi yenye Afya.
Nimekuwekea na MAFUTA BURE kabisa kama misuri ya uume ni legevu kiasi cha kushindwa kusimama imara. Mafuta haya ni kwa ajili ya kuondoa udhaifu wa uume, hunyoosha maumbile na kukuza uume kama una muonekano mdogo wa kurudi ndani kuwa kama wa mtoto.
Dawa inatibu moja kwa moja, haihitaji kuirudia tena kama utatumia dozi.
Dozi yake Tsh 65,000 mkazi wa Dar (unafikiwa popote ulipo ndani ya mji na malipo ni baada ya kupokea dawa na maelekezo yake)
Kwa wakazi wa mkoani nakutumia kwenye Bus na pia kwa ndugu wa nchi jirani pia tunakufikia. Cha kuzingatia chukua simu kisha nitafute kwenye whatsapp namba 0757487684
AsiliYetuAfrika
Tunapatikana Dar es salaam jengo la KARUME Machinga complex Block B, floor no.3
FANYA MAAMUZI SAHIHI LEO

Comments
Post a Comment