P.I.D ni ufupisho wa neno la kiingereza [Pelvic Inflammatory Disease] ikiwa na maana ya mashambulizi katika via vya uzazi. Tukisema via vya uzazi tunamaanisha mfuko wa mayai (Ovari), mirija ya uzazi (Fallopian Tubes), Mlango wa Uzazi (cervix) na Mfuko wa Uzazi (Utreus)
P.I.D ni ugonjwa ambao husababishwa na fangasi/bakteria (fangasi hawa tunaweza kuwapata katika vyoo wakati wa haja ndogo, kushiriki ngono na wanaume wenye magonjwa ya zinaa kama kaswende na kisonono au kwa kuvaa nguo ambazo ni nyevu na zenye maambukizi ya fangasi/bakteria endapo kama maji ni machafu tuliyofulia nguo hizo na mazingira yoyote yanayoweza kufanya fangasi/bakteria kuishi.
Uke ukishambuliwa, fangasi hawa huweza kuzaliana maradufu
na kusambaa sehemu za ndani ya via vya uzazi kama kwenye mirija ya uzazi na
kupelekea mirija ya uzazi kujaa maji, kuvimba na kuanza kuziba ambapo kitaalam
inaitwa HIYDROSALPINX {ikiwa na maana ya Mirija Ya Uzazi Kuziba},
Fangasi au bakteria hawa wakishambulia vifuko
vya mayai [ovary] husababisha vifuko vya mayai kujaa majimaji na vivimbe vidogo
vidogo ambavyo kitaalam huitwa OVARIAN CYST, vilevile ugonjwa huu ukidumu kwa
muda mrefu fangasi hawa hupelekea michubuko katika mirija ya uzazi na
kusababisha makovu na mfuko wa uzazi [uterus] huwa na dalili za majimaji ambapo
ukienda hospital utaambiwa kizazi ni kichafu au kiazi kimejaa maji…..
Ukiwa na tatizo la P.I.D ni rahisi kujigundua hata kabla ya vipimo kwani huwa
kuna dalili za mapema zinazojitokeza kama vile kutokwa na uchafu mweupe mithili
ya mtindi ambao huwa na harufu,,, bakteria au fangasi hupelekea muwasho sehemu
za siri, unakuwa unaugua U.T.I [yutiai] mara kwa mara, unapokutana na mwanaume
unahisi kama unachanika kwa sababu ya michubuko ukeni, hedhi, na kwa wanawake
wengine wanapojisafisha ndani ya uke huhisi kama kuna kigololi hivi wanakigusa,
zote hizo ni dalili za kwamba kuna shambulio la bakteria / fangasi [P.I.D] na
kama upo kwenye kipindi cha kutafuta mtoto huwa ni vigumu mimba kutungwa na
kama ipo basi huweza hutoka yenyewe kabla ya miezi mitano (miscarriage)
Wengi wamejiaminisha kuwa ugonjwa huu hautibiki…. Dhana hii sio ya kweli
Ugonjwa Huu unatibika vizuri tu iwe ni kwa Dawa za Hospital au Za Asili,
kinachohitajika ni Mwanamke kuwa na tahadhari zote za kujikinga na
Fangasi/Bakteria Kushambulia uke wake .
Leo nitagusia juu ya njia za asili bora ambazo unaweza kuzitumia ukiwa nyumbani
kuhakikisha unapona p.i.d na tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huu.
•Kwanza kabisa jiwekee utaratibu mzuri wa vyakula.
•Vyakula ambavyo ni marufuku kwako ni vyote vyenye sukari nyingi mfano soda, ice cream, pipi na keki au chai ya rangi yenye kahawa/majani hivi so vizuri kwako kabisa kwa sababu hudhoofisha kinga ya mwili hivyo kuruhusu mwili kushambuliwa zaidi.
••Kama ni mpenzi wa chai, Chai yakoi iunde kiasili kwa viungo hivi, iliki, mdalasini, tangawizi, karafuu, tangawizi na mchaichai. Sukari tia kidogo au asali kama unayo ili chai yako iwe ni chai tiba. Kama wewe ni mpenzi wa Uji, tumia ule uji wa lishe ambao nafaka zake hazijakoloblewa sio ule wa unga ya sembe
Kuwa mtu wa kunywa maji walau lita mbili kwa siku, tena inafaa unapoamka asubuhi kunywa maji nusu lita [kikombe kimoja] kwa kukamulia limao moja au chungwa au kwa kutia kijiko kimoja cha siki ya tufaa [apple cider vinegar]
Ukizingatia utaona unavyobadilika taratibu, kujiskia kuwa mwepesi zaidi huku ukiwa mkavu bila harufu yoyote
Dawa Asili Unayoweza Kujiandalia Ukiwa Nyumbani Ili kutibu
P.I.Di na athari zake.
KAMA NDO KWANZA UNAANZA KUHISI DALILI ZA MUWASHO NA FANGASI unaweza usihangaike
kutumia madawa ya bei, ukaanza kutumia MAZIWA MTINDI au KITUNGUU SAUMU
Hii ni njia nyepesi ya kuondosha
fangasi kama ndo wanaanza kukushambulia.
MATUMIZI
Kama utatumia MAZIWA YA MTINDI
Kila siku utakunywa maziwa mtindi glass moja asubuhi na usiku muda wa kulala
kwa siku 7
Kama una muwasho na harufu uken USIKU wakati wa kulala unachukua mtindi kijiko
kidogo kimoja unaingiza ukeni, unavaa nguo yako ya ndani unapumzika, asubuhi
unaamka na kujisafisha kwa siku 7 huwezi kuwaona fangasi wala muwasho
Kama utatumia KITUNGUU SAUMU
Kila asubuhi utachukua punje 4 mpaka sita za vitunguu saumu, utamenya na kumeza
punje moja moja mpaka ziishe [meza kama unavyomeza tembe za vidonge kwa
kusukmia maji ili kuepusha harufu ya vitunguu mdomoni] kwa siku saba fangasi na
U.T.I utaiskia kwa majirani tu {Njia Hii Ya Kitunguu Saumu Haishauriwi Kama Una
Ujauzito Au Una Tatizo La Presha Kushuka}
Kama una Muwasho uken Fanya hivi,
Chukua Punje moja ya kitunguu saumu imenye kasha ifunge kwenye kitambaa kisafi,
utaweka kitambaa hicho ukeni muda wa kulala na usiku asubuhi utakitoa… Utafanya
hivi kwa siku 3 mpaka 7 wewe binafsi utajionea mrejesho {punje ya kitunguu
saumu usiitwange, ifungashe kwenye kitambaa jinsi ilivyo}
KAMA P.I.D IMESHAKUWA SUGU
1. Dawa Ya Kuandaa
Mahitaji
1. unga wa maganda ya parachichi au mbegu ya parachichi vijiko 2
2. unga wa mbegu za mlonge vijiko 2
3. unga wa maganda ya ndizi mbivu vijiko 2
4. unga wa habat soda vijiko 2
5. unga wa kitunguu swaumu vijiko 2
6. unga wa uwatu vijiko 2
Changanya dawa hizi kwa pamoja kisha utie katika Asali mbichi pure lita 1 changanya dawa hizo na asali hakikisha umechanganya vizuri kabisa.
Baada ya kuchanganya dawa hizi utakunywa kijiko kimoja cha
chakula kutwa mara 2
-Asubuhi kabla ujala kitu unakula kijiko kimoja
-Mchana unakunywa kijiko kimoja baada ya mlo
-Na jioni una kunywa kijiko kimoja
Utafanya hivyo kwa muda wa siku 14 mpaka 18
2. Njia Nyingine Nyepesi Yenye Kuleta Uponyaji ni Matumizi Ya MZIWAZIWA + HABAT SAWDA + MKUNDE PORI
👇🏾
>>>Chuma mziwaziwa kiasi cha kujaza bakuli la
kawaida, unang'oa na mizizi yake (osha vizuri)
>>>Chuma mizizi ya habat sawda bakuli moja au unga wa MAJANI yake bakuli moja (Maduka Ya Tiba Asili au Maduka Ya Kissuni Unapata Vitu Hivi)
>>>Chuma mizizi ya mkundepori kiasi cha kujaza
bakuli moja la kawaida (ioshe vizuri)
Chukua sufuria ya lita mbili za maji, weka viambata vyako, funika na uchemshe kiasi cha dakika 30 kisha ipua na usubiri ipoe....
Ifungashe vizuri chupa au kidumu uwe unatumia glass mbili kila siku kwa siku kumi na nne tu na kama huna uwezo wa kuitunza vizuri basi andaa kila siku kama mimea hii unazipata kwa urahisi....
Pia nikukumbushe kuwa wakati unajitibu P.I.D vyema kuhakikisha mwanaume hana matatizo ya U.T.I
Mwanaume akiwa na
U.T.I sugu ni rahisi kukuambukiza PID maana uchafu wa mkojo unapoingia kwenye
kizazi cha mwanamke huua wale bakteria wazuri wanaolinda uke na kuruhusu
bakteria wabaya kutawala. Ni muhimu umtibie UTI pia....
Ni rahisi sana mwanaume kupona UTI.
Kila asubuhi unampa
glass ya maji ambayo unakuwa umewekea baking soda (kijiko kidogo)... Baking
soda kwa wasioifahamu ni ule unga wa kukandia ngano. Akinywa kwa siku 3 - 5 uti
inaisha kabisa muhimu awe mtu wa kunywa maji sana pia.
Wanaume wengine sio waaminifu katika ndoa, anaweza kutoka
kuzini kwingine na akaja kushiriki tendo la ndoa hivyo kukuletea bakteria
kutoka kwa mwanamke mwingine, hili kujikinga na hilo kabla hamjashiriki tendo
hakikisha anaoga, pia anywe maji ili kabla ya tendo akojoe kwanza... Mkojo
husaidia kuondoa uchafu au masalia ya shahawa zenye maambukizi ambazo zinaweza
kuwa zimebakia ktk njia ya uume baada ya kutoka kwa mchepuko., Km humuamini
hakikisha anaoga na kukojoa kabla ya sex
iweke akilini hiyo
*Muhimu zaidi ukitaka kujiweka mbali na magonjwa haya ya fangasi ukeni hakikisha unanielewa hapa👇🏾
*Epuka kufanya ngono hovyo hovyo na wanaume tofauti toauti pia zingatia ngono salama kwa mtu usiyemuamini
*Jiwekee tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara hasa vipimo vya mfumo wa uzazi walau kila baada ya miezi sita
*Usifanye mapenzi mara baada ya kujifungua au mimba kutoka mpaka utakapo hakikisha shingo ya uzazi imefunga vyema, jipe kipindi cha siku 40 bila kufanya ngono baada ya kujifungua au mimba kuharibika
*kuwahi kuonana na daktari mara tu unapoona dalili za ugonjwa nilizokutajia hapo juu
*jitahidi kufanya usafi sehemu yako ya siri na mwili mzima kiujumla pia kula lishe bora.
* Punguza ulaji wa nafaka za kukobolewa na vya kutiwa mafuta
mengi, tumia zaidi maziwa mtindi, kitunguu saumu, apple na vyakula ambavyo
vitakusaidia kusafisha njia ya uzazi (ukiagiza dawa niambie nikupe orodha nzima
ya milo inayokufaa)
Dawa Kwa Ajili Ya Kutibu Tatizo La Fangasi, P.I.D, U.T.I sugu na Maambukizi katika uzazi, vifuko vya mayai na mirija ya uzazi dozi yake unaipata kwa Tsh 65,000 tu popote ulipo
Kama umehangaika na changamoto za uzazi na unahitaji Ushauri na Dawa Asili Yetu Kuondoa Fangasi, Uvimbe, Kuzibua Mirija na Kuweka Mpangilio mzuri wa Homoni [Hedhi]
Karibu AsiliYetuAfrika
Tunapatikana Machinga Complex, KARUME [kwa wakazi wa Dar es salaam], pia tunafanya delivery bure kwa wahitaji wa Dawa Asili za Uzazi
Comments
Post a Comment