•••Unaweza kutumia pia ndani ya maziwa ya moto hasa kama huna vidonda vya tumbo au kisukari.
•••Hii pia ni njia nyepesi yenye kukusaidia iwapo unajihisi kuwa na tatizo la;
* Kujihisi hasira mara kwa mara (off mood)
* Kuongezeka uzito kupitiliza
* Kujihisi mchovu muda mwingi hata bila kufanya kazi ngumu
* Kukosa Usingizi usiku
* Kukosa hisia za mapenzi, kukosa ute wa uzazi na kuwa mkavu ukeni
* Ni njia mbadala pia kama unatafuta mtoto katika ndoa bila mafanikio wakati ukipima hospital unaambiwa huna tatizo (husaidia kupevusha mayai) Kikubwa ni kuzingatia vyakula vyako kama navyokuelekeza mara kwa mara katika darasa.
•Zingatia Kisha utanipa Mrejesho 🙏🏽
AsiliYetuAfrika, Tunakusaidia kutatua changamoto zinazohusiana na uzazi kwa kutumia Vyakula na Tiba Mbadala.
Pia tunazo dawa asili zenye kutibu matatizo ya;
• Kuzibua Mirija na Uvimbe Kwa Tsh 63,000
• Kuondoa Fangasi, U T I sugu na P.I.D kwa tsh 65,000
• Kubalansi Homoni (Kwa wenye matatizo ya hedhi) na Kutopata Mtoto Tsh 69,000
Kwa Matatizo Mseto (Changamoto Zaidi Ya Moja mfano Uvimbe, Mirija Kuziba, Homoni Imbalansi na P.I.D) Dozi ya pamoja #HayalandMixedHerb unaipata kwa Tsh 85,000 tu
Popote ulipo unapata bidhaa bila gharama ya usafirishaji (free delivery)
Tunapatikana Machinga Complex KARUME, (Dar es salaam)
Tupigie Simu / WhatsApp 0757487684
Asante kwa ushauri wako
ReplyDeleteAsante
ReplyDeleteNaomba kujua km uwatu unaweza saidia tatizo la mimba kutoka
ReplyDelete