Aina ya Kwanza ni ule uvimbe unaoweza kujitokeza katika mfuko (vifuko) wa mayai (OVARIAN CYST)
Uvimbe wa aina hii kwenye mfuko wa mayai ya mwanamke (ovary), hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke.
Uvimbe huu hutokea kwa wanawake wa umri wowote.
Vivimbe katika vifuko vya mayai vimekuwa changamoto kwa baadhi yetu, ni vyema kujiwekea utaratibu wa kufanya vipimo vya afya ya uzazi wala mara moja ndani ya miezi sita ili kujua Afya yako ya Uzazi haswa pale unapohisi dalili kama hizi;
• Maumivu kwenye nyonga hasa sehemu za tumbo la chini
•Kuhusi Tumbo kujaa au kuwa zito
•Tumbo kuunguruma mara kwa mara
•Maumivu ya upande mmoja au pande zote za nyonga na kuhisi homa au kutapika n.k hizo ni baadhi ya dalili zenye kuashiria kunao uvimbe katika vifuko vya mayai
Aina Ya Pili Ya Uvimbe ni UVIMBE katika TUMBO LA UZAZI kitaalam huitwa (FIBROID/Myoma)
Dalili zinazoweza kujitokeza ukiwa na fibroid ni pamoja na;
•Kupata Hedhi inayochukua siku nyingi kuanzia 7 na zaidi
•Kutoa Hedhi nzito
• Kujiskia umeshiba muda mwingi na tumbo kujaa (wengine huhisiwa kuwa na mimba kumbe ni uvimbe tu ndo umejaza tumbo)
• Maumivu ya nyonga
• Kupata mkojo mara kwa mara na kushindwa kutoa mkojo wote kwenye kibofu. (Hii upelekea maumivu ya kibofu haswa kinapoanza kujaa mkojo)
• Kukosa choo kwa muda mrefu au kupata choo kigumu
• Kupata maumivu makali wakati watendo la ndoa
• Maumivu chini ya mgongo na kwenye miguu.
•Mimba Kutoka Zenyewe kabla ya Miezi Tisa.
UGONJWA HUU CHANZO CHAKE HALISI KITAALAM HAKIFAHAMIKI JAPO BAADHI YA TAFITI ZIMETAJA BAADHI YA VYANZO KAMA;
• Kurithi: kama mama au dada yako aliwahi kuugua tatizo hili basi wewe pia unaweza kuwa kwenye hatari ya kupata uvimbe huu.
Umri:
Uvimbe kwenye kizazi (fibroids) hutokea zaidi kwa wanawake wanaokaribia kukoma hedhi kuanzia miaka 35 mpaka 40.
Lishe/Ulaji wako: matumizi ya vyakula vya wanga na sukari kupita kiasi huongeza hatari ya kupata fibroids
Uzito mkubwa au kitambi: wanawake wenye uzito mkubwa na kitambi wako kwenye hatari zaidi ya kupata fibroids kuliko wanawake ambao uzito wao upo kawaida
Wanawake wenye shinikizo la juu la damu / High Blood Pressure
Matumizi ya njia za kupanga uzazi kama vidonge (majira) huongeza ukuaji wa fibroids kwani vidonge hivi huweza kupandisha homoni ya estrogen kwa wingi kupitiliza
Kubalehe mapema: wanawake wanaobalehe mapema na kuanza kupata hedhi chini ya miaka 10 wako kwenye hatari zaidi ya kuugua fibroids na wenye matatizo ya tezi ya Thairodi
NJIA ZA ASILI ZENYE KUKUSAIDIA KUTIBU MATATIZO YA UVIMBE KWENYE VIA VYA UZAZI
Hatua ya kwanza ni kuhakikisha unakula vyakula ambavyo vinasaidia kuyeyusha / kufubaza vivimbe na kuviacha vyakula ambavyo si rafiki kwa afya yako.
Hapa chini nimekuwekea ratiba fupi ambayo inakufaa kuzuia au kukukinga dhidi ya vivimbe katika via vya uzazi....
•Asubuhi ukiamka kunywa maji nusu lita, kamulia limao moja au kijiko kimoja cha apple cider vinegar (siki ya tufaha) kama una madonda ya tumbo usitumie vinegar kunywa maji tu
• Chai yako isikose tangawizi, mdalasini, iliki na karafuu
• Mlo wa mchana, usile vyakula vya kukobolewa kama ugali wa sembe na ngano nyeupe.
• Mafuta ya kupikia tumia zaidi mafuta ya mimea kama mafuta ya mzeitun, alizeti, karanga n.k usitumie mafuta ya wanyama (mafuta ya kuganda)
• Kwenye mboga au kachumbari weka kitunguu maji kwa wingi kwani kinasaidia sana kuyeyusha vivimbe mwilini
• Usiku kabla ya mlo kunywa tena chai ya mdalasini, tangawizi, iliki na karafuu, utafuatisha dinner yako na muda wa kulala utamalizia na glass ya maji ya siki ya tufaha au glass ya maji yenye limao kama tulivyoelekezana mwanzo unapoamka..
Kama vivimbe ni vingi au ni uvimbe mkubwa wa kuzidi sentimita 4, Unaweza Kuandaa Dawa Hii Ukiwa Nyumbani kwako.
HATUA YA KWANZA
• Chukua unga wa halilinji vijiko 6, changanya na Unga wa Habat thufaa vijiko sita
Mchanganyiko huu uweke kwenye bakuli kisha chukua asali mbichi lita moja umimine kwenye bakuli hilo na ukoroge (ingredients hizi zipo maduka ya tiba lishe)
HATUA YA PILI.
• Chukua tikiti kisha lioshe, kata na uondoe upande ule mwekundu ubakize MAGANDA YAKE ndo tunahitaji tu hayo mengi wape watoto wale.
~Maganda ya tikiti yasage kwenye blenda kisha utaweka lita moja ya maji kupata juisi yake.
~Juisi ya Maganda ya tikiti ikishakuwa tayari itoe na uchanganye na mchanganyiko wako wa asali, halilinji na habat thufaa. Koroga mpaka ikolee
~Chukua juisi yako uweke kwenye kidumu au kifaa safi ..........ni vizuri kuitunza kwenye friji ili isiharibike.
MATUMIZI: Utakuwa ukitumia nusu glass mara tatu kwa siku mpaka iishe.
Ukimaliza nenda ukapime ukubwa wa uvimbe wako kama haujaisha basi utakuwa umepungua kwa kasi sana kiasi ukiandaa nyingine unaisha....
Viambata hivi kama vinegar, halilinji, habat thufaa n.k unavipata katika maduka ya tiba asili au maduka ya kisunni.
MAZINGATIO:
Ni muhimu kuachana matumizi ya vidonge kama njia ya uzazi wa mpango, achana na vyakula vyenye kutiwa sukari nyingi kama keki, pipi, ice cream, soda, biscuit n.k hivi huchangia zaidi mvurugiko wa homoni hivyo uvimbe uendelea kukua zaidi.
•Achana na matumizi ya vyakula vya kukobolewa sana mfano sembe, ngano nyeupe na vilevile yaepuke matumizi ya vyakula vyenye kutiwa mafuta mengi
Ukizingatia hayo, nina uhakika ndani ya mwezi mmoja ni lazima uniletee majibu yaliyo mazuri...
Mwenyezi Mungu akusimamie huu mwaka uwe wa uzao kwako, ninaamini UTAFANIKIWA
Endelea kujifunza na kuchukua hatua katika elimu nayokupa.... Hakuna kinachoshindikana ukiamua kuchukua hatua kila siku...
Kama una magonjwa ya uzazi na unataka dawa ya kukusaidia kupona, njoo uchukue MIXED HERBS POWDER
Ni dawa lishe ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo
✓ Inakusaidia kusafisha via vya uzazi yaani inasafisha mira ya uzazi na fuko la uzazi ili kuondoa majimaji au uchafu na fangasi
✓ Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cyst)
✓ Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii inakusaidia pia kuondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kwa wale ambao mnapata tatizo la kukosa hisia, kuwa wakavu ukeni, period kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, mayai kutokupevuka n.k....
DOZI HII YA UZAZI, NAKUPA KWA TSH 66,000 tu POPOTE ULIPO
....hakuna gharama ya usafirishaji (free delivery)
Ninapatikana Machinga Complex, KARUME (Dar) na mkoani natuma kwenye Bus
AsiliYetuAfrika, tunapatikana Machinga Complex, KARUME kwa wakazi wa Dar es salaam
Pia tunamfikia mhitaji wa dawa zetu bila gharama ya ziada


Ahsante sana doctor somo zuri
ReplyDeleteAhsante Madam
Delete