Prolactin ni homoni ambayo huzalishwa na tezi ya Pituitary ambapo kazi kubwa ya homoni hii ni kuzalisha maziwa kwa ajili ya kina mama wenye ujauzito au ambao wamejifungua / wanaonyonyesha
Kama huna mimba na haunyonyeshi ila unapata dalili za chuchu kuuma au kuwasha, matiti kujaa sana, matiti kutoa maziwa au ukibinya yanayotoa maji, hii inakuwa ni ishara ya kwamba homoni ya prolactin ipoj juu sana na unaweza kuwa na dalili nyingine baadhi kama kukosa ute wa uzazi, kukosa hisia, kuwa mkavu sana ukeni, mvurugiko wa hedhi na huwa vigumu kupata ujauzito
Hapa nimekuandikia baadhi ya mambo unayoweza kuyafanya ili kubalansi homoni ya prolactin
• Kwanza kabisa, punguza matumizi ya sukari na pendelea sana kunywa maji walau lita moja mpaka lita mbili KILA SIKU
• Pili, pendelea kutumia vyakula vyenye madini ya Zinc kama vile nyama, chaza, samaki wa kuchemsha, mbegu za maboga, karanga na maharage husaidia kushusha homoni ya prolactin
• Punguza stress na punguza kufanya shughuli zinazokufanya utoke jasho sana na mwili kuchoka mfano kutembea umbali mrefu sana, kufanya mazoezi kwa muda mrefu n.k au fanya masaji ya mwili, pata usingizi walau masaa nane kwa siku (inasaidia ubongo kurelax na mwili kuzalisha homoni ya katika viwango sahihi)
• Usipendelee kutomaswa chuchu mara kwa mara, kwa wanandoa tunaamini chuchu ni sehemu mojawapo ya kuamsha hisia [nyege] za mwanamke wakati wa tendo la ndoa, ila athari yake ni kuongeza uzalishwaji wa homoni ya prolactin,,, kama unasumbuliwa na changamoto za maziwa kuuma au kujaa na unahitaji kulitibu basi epuka kuguswa chuchu zako mara kwa mara
• Punguza au achana na matumizi ya bia, ngano nyeupe, sembe na matumizi ya wali itakusaidia sana kupata matokeo mapema sana (tumia nafaka kama viazi mviringo, mchele wa kahawia, ngano isiyokobolewa, dona n.k)
Unaweza kuandaa Dawa Yenye Kusaidia kushusha Homoni ya Prolactin
• Changanya Vijiko vinne vya unga wa vitunguu saumu na vijiko vinne vya unga wa vitunguu maji uchanganye na lita moja ya asali kisha weka kijiko kimoja cha mafuta ya zaituni (olive oil) na mafuta ya habat sauda vijiko viwili.
• Utatumia kijiko kimoja asubuhi kabla hujala chochote na kijiko kimoja usiku baada ya mlo wako mfululizo kwa siku 7 [kasha utaona umefikia wapi]
Kama njia hiyo itakuwa ngumu kwako, unaweza kutumia UNGA WA MREHANI
Utakuwa ukitumia kijiko kimoja kijiko kimoja cha mrehani kila asubuhi na jioni kwenye chai yako kwa wiki mbili
AU
Unaweza kutumia UNGA WA MBEGU YA PARACHICHI, utalamba kijiko kimoja cha chai mara tatu kwa siku walau kwa wiki mbili na utaleta mrejesho wako
Ni changamoto gani ya uzazi ambayo mpaka sasa inakuwazisha sana? [niandikie katika comment]
Kama unasumbuliwa na changamoto za ukavu ukeni, kukosa hisia za mapenzi, kukosa ute wa uzazi, kupata dalili za mimba ila ukipima haionekani, hedhi yako kukosa mpangilio mzuri, hedhi kutoka kidogo, yenye mabonge au utelezi n.k nina bidhaa nzuri ya asili yenye kukusaidia kuondoa changamoto hizo
Ni dawa ya mitishamba, ni ya unga unaitumia kwenye maji, chai au uji kijiko kimoja kila siku. Kwa wiki tatu
Unaipata kwa Tsh 69,000 tu
Nipigie Simu /DM / WhatsApp namba 0757487684
Jifunze na Kuchukua Hatua bila Kukata Tamaa utazishinda nyakati ngumu.....
Comments
Post a Comment