Kama umewahi kwenda hospital ukaambiwa homoni ya kiume ndo kikwazo cha wewe kukosa hedhi/ujauzito, somo hili lipitie litakusaidia...
Homoni ya kiume ikiwa nyingi kupitiliza, mwanamke hupata dalili kama kukosa hisia, kuota ndevu, kuwa na dalili za vivimbe katika vifuko vya mayai [PCOS-PolyCyst Ovarian Syndrome], Kukosa Ujauzito kwa Sababu Ya Mayai Kushindwa Kupevuka.
Kuishusha homoni hii, inahitaji sana kufanya mabadiliko katika vyakula vyako na unaweza kuandaa baadhi ya tiba asili ikibidi
Ninachokushauri;
• Jitahidi sana kutumia Soya mfano maziwa ya Soya au Unga wa Soya... Kijiko Kimoja Katika Chai, Juisi fresh au Katika Glass Ya Maji Moto mara3 kwa siku (Kwa siku30 utaleta mrejesho)
• Kama imani yako ya dini inaruhusu, unaweza kutumia bia, bia inayo shayiri ndani yake ambayo husaidia kuongeza homoni ya kike (oestrogen) na hushusha homoni ya kiume (testosterone)... KUMBUKA, MATUMIZI YA POMBE KUPITILIZA, NI HATARI KWA AFYA YAKO...
• Mnanaa (Mint) na Babunaji (Chamomile) yote hii ni mimea mizuri linapokuja suala la kubalansi homoni za mwili... Unga wake unatumika kuandaa chai au vinywaji. Ukiipata, itumie itakusaidia kujiweka imara zaidi
• Mizizi Ya Arkisus (Licorice)
Kwa wakazi wa Dar mtakuwa mmesikia sana habari za Alkasusu mujarabu, achana na matangazo ya nguvu za kiume.. mmea huu unasaidia katika kubalansi homoni zako za mwili na inafaa sana kama utauchanganya na unga wa habat soda na Asali
Yaani namaanisha Unachukua Asali robo lita, Unga wa Arkisusi (licorice) Vijiko Vitatu, na Unga wa Habat Soda Vijiko Viwili.
Changanya na ukoroge vitu hivi kwa pamoja kwa kijiko. Matumizi Yake, utakuwa ukilamba vijiko viwili asubuhi na viwili usiku kwa majuma manne utaona wapi umefikia
Vitu vingine ambavyo unaweza kuvitumia kushusha homoni hii ni kutumia zaidi mafuta ya mimea katika mapishi yako (kama alizeti, nazi, mawese n.k) badala ya mafuta ya wanyama
~Punguza kula vyakula vya wanga, badala yake jikite katika kula matunda zaidi, samaki, mboga za kijani....
Changamoto Gani Ya Uzazi mpaka sasa hujaweza kuitatua (niandikie kwenye comment)
Kama unahitaji Dawa Ya Kubalansi Homoni kama Unasumbuliwa na Changamoto za Kukosa Hedhi, Kuwa Mkavu, Kukosa Ute wa Uzazi, Mayai Kutopevuka, Kushindwa Kubeba Ujauzito tumia HAYALAND MIXED HERBS
Ni Dawa Ya Uzazi ambayo inakusaidia Kusafisha Mfuko wa Uzazi, Mirija na Kubalansi Homoni
Dozi yake unaipata kwa Tsh 85,000 tu
Nafanya delivery bure popote ulipo
Kwa wakazi wa Dar, AsiliYetuAfrika tupo Machinga Complex, mtaa wa KARUME
Nipigie Simu / WhatsApp 0757487684
Hakuna Changamoto Ya Uzazi Isiyotatulika Ukiamua... Amua Fungu Jema
Comments
Post a Comment