Kwa mwanamke anayehitaji kusafisha mirija ya uzazi na kuondoa changamoto ya mirija kujaa maji, makovu n.k
👇
Wakati unaendelea kutumia dawa, jitahidi kuzingatia vyakula vyako ili upate matokeo mazuri mapema zaidi, pendelea kutumia vyakula vyenye Vitamin C kwa Wingi zaidi kama Machungwa, Broccoli, Limao, Nanasi, Papai, Pilipili Hoho na Pilipili za kawaida, strawberry, Viazi vitamu n.k Vitamin C husaidia kusawazisha maeneo ambayo yanaonekana kututumka / kuvimba (inflammation) katika mirija...Vitamin C hukusaidia mirija kufunguka kama imeziba kwa sababu ya makovu au infection
Unga wa Binzari ya Manjano.
Binzari hiyo itumie pia kama unaweza kuipata, ni nzuri katika kuondosha makovu na vivimbe ndani ya via vya uzazi, inaweza kutumika kwenye chai, juisi au katika mapishi ya mboga yako, kama utakuwa nayo tumia kijiko kimoja kila siku
Tangawizi... Hii nayo yafaa kutumika mara kwa mara kwenye chai, vyakula, vinywaji au katika mapishi ya mboga zako... Inasaidia kusafisha njia za uzazi, kuzibua mirija na kuondoa dalili za vivimbe kwenye kizazi, mirija na ovari
Kitunguu saumu nacho kiko poa katika kutibu changamoto hizi za uzazi kwan husaidia kuondoa madhara ya bakteria/fangasi katika via vya uzazi... Unapoamka asubuhi na kwenda kupumzika usiku, unaweza kumeza punje tano mpaka kumi za vitunguu saumu (hakikisha hauna matatizo ya presha kushuka)
Vyakula vyako visiwe vya kukaushwa sana au kukaanga sana kwa mafuta, pendelea kutumia vyakula au vinywaji fresh
Ulaji mzuri, Dawa Sahihi na Imani ya Kupona vitakusaidia kupata matokeo mapema sana, ndani ya wiki 3 hadi 4 utanipa.mrejesho wako...
Changamoto gani mpaka sasa bado hujaweza kuitatua?
Unaweza kuwasiliana na timu ya AsiliYetuAfrika kwa kubofya https://wa.me/c/255757487684
Kama una changamoto za Vivimbe, Fangasi/P.I.D sugu, Mirija Kuziba na Matatizo Ya Hedhi tumia *Hayaland Mixed Herb* ni dawa kwa ajili ya Kusafisha Njia Za Uzazi, Kutoa Uvimbe, Makovu, Kusafisha Mirija Na Kurekebisha Homoni kwa Wanaosumbuliwa na Matatizo ya Hedhi
Dozi kamili unaipata kwa Tsh 85,000
Weka oda yako kwa kupiga Simu / WhatsApp namba 0757487684
AsiliYetuAfrika, tunapatikana Machinga Complex, KARUME pia tunafanya delivery bure
Comments
Post a Comment