Hedhi yako imevurugika na unawaza ni kwa namna gani utaweza kuiweka sawa....!
Unatumia dawa zipi kwa sasa kurekebisha homoni au ndo umekataa tamaa kuhusiana na mambo ya uzazi....!
Today i have some tips for you..!
Wakati ukiendelea kutafuta ufumbuzi wa tatizo lako nakusisitiza kufanya mabadiliko katika vyako vya;
Haijalishi unaishi mazingira yapi au uchumi wako ukoje, jitahidi kuweka ulazima wa
👇🏼
• Kula parachichi zima 1 kila siku kama huwezi walau kipande kimoja cha parachichi
• Tumia vyakula vya wanga kwa kiwango kidogo, vyakula kama Mahindi, Ugali na Dona, Viazi, Mihogo, Ndizi, Tambi n.k, ila ongeza wingi wa mboga za majani na matunda kama spinach, bamia, msusa, parachichi, ndizi mbivu n.k ni vizuri sana kwenye kuimarisha homoni zako
• Epuka kahawa, chai ya rangi, soda nyeusi na vinywaji vingine vyote vyenye kiwango kingi cha kafeina ndani yake
• Achana na msongo wa mawazo (stress) na upate usingizi wa kutosha kila siku, kama hupati usingizi jitahidi kunywa glass ya maziwa fresh yaliyotiwa mdalasini na vijiko kadhaa vya asali mbichi, inaleta usingizi kuliko kumeza pilitoni
• Usitumie dawa za uzazi wa mpango kama unahitaji kuweka homoni zako
• Kuna vyakula tunafosi kivitumia ila havina ulazima wowote wala havina faida mwili, vyakula kama chipsi, chapati, vinywaji kama soda.... Usishindane na utandawazi, kula kawaida uijenge Afya yako
• Kunywa chai yako yenye tangawizi, mdalasini, iliki na mchaichai
Kama utaweza kupata Unga Wa Mbegu Ya Parachichi utumie.
Weka kijiko kimoja cha unga wa mbegu ya parachichi kwenye kikombe cha chai, unasaidia kuondoa tindikali mwilini kwa ndugu zangu ambao mmetumia au mnatumia sana uzazi wa mpango, sindano, p2, vidonge n.k
Weka nia, chukua hatua ndani ya wiki 3 hadi 4 uje na mrejesho wako
👉🏻 Ni changamoto gani ya uzazi ambayo mpaka sasa inakuwazisha sana na unapenda nikusaidie..? [niandikie katika comment]
Kama unasumbuliwa na changamoto za ukavu ukeni, kukosa hisia za mapenzi, kukosa ute wa uzazi, kupata dalili za mimba ila ukipima haionekani, hedhi yako kukosa mpangilio mzuri, hedhi kutoka kidogo, yenye mabonge au utelezi n.k nina bidhaa nzuri ya asili yenye kukusaidia kuondoa changamoto hizo, kusafisha fuko la uzazi na kurekebisha mzunguko hedhi
Ni dawa ya mitishamba, ni ya unga unaitumia kwenye maji, chai au uji kijiko kimoja kila siku. Kwa wiki tatu
Unaipata popote kwa Tsh 69,000 tu (free delivery)
Nipigie Simu /DM / WhatsApp namba 0757487684
Jifunze na Kuchukua Hatua bila Kukata Tamaa utazishinda nyakati ngumu.....
Comments
Post a Comment