Hapa nasemea wewe mwenye tatizo la Hedhi Kupitiliza, Hedhi Kutoka Ya Utelezi au Nyamanyama, Kukosa Ute wa Uzazi na Mimba Kushindwa Kutunga n.k.
Pamoja na Vyakula Unavyotumia Kila Siku, nakusisitiza Kutumia angalau vitu viwili au vitatu katika Orodha Hii
• Tangawizi
Ni mmea mzuri kusogeza uzazi karibu zaidi na kukomaza mayai. Itumie tangawizi mara kwa mara kwenye chai, katika vyakula au hata kwenye maandalizi ya juisi ihusishe pia ni kiungo kizuri kwa afya ya uzazi na mwili
• Mdalasini
• Papai bichi
Hili huwa na virutubisho vingi ambavyo husaidia kuzalisha mayai, kukomaza na kupevusha mayai na kujenga ukuta imara wa uzazi. Unaweza kumenya na kutafuna au kwa kusaga na kutengeneza juisi, utakunywa glass moja kila siku, ikibidi wekea na asali mbichi kuipa juisi yako utamu)
•Binzari Ya Manjano
•Mdalasini
•Mshubiri
Ni mzuri pia katika kuleta afya njema ya uzazi, nashauri usipendelee kutumia sana kwa sababu hukata sukari, itafaa zaidi kama kwa wiki utatumia mara tatu tu.
• Nanasi
• Kotimili
Hii naishauri sana pia kwa sababu ina wingi wa viinilishe vyenye kusaidia kukabiliana na matatizo ya hedhi (itafute maduka ya vyakula) hutumika kupikia pilau, juisi na hata kwenye mboga huwekwa.
Ipo mimea mingine mizuri kama parachichi, karoti, tikitimaji, tango na mboga za majani haswa msusa, chainizi na bamia kwa ajili ya kiweka homoni sawa
Kuna formula moja niliwahi kuelekeza ya KUTOA HEDHI NJE KAMA IMEKWAMA.
Yaani tarehe yako ya kuanza inafika na kupitiliza bila kuona damu au kutoka vitone tu wakati huna mimba.
Kwa tatizo kama hilo tumia juisi ya KITUNGUU MAJI na Maji Ya Limao.
Unakatakata Vitunguu Maji Vikubwa Viwili na Kuvichemsha Kwenye Maji Nusu Lita, Unaipua na Kukamulia Limao Moja au malimao mawili kama ni madogo.
Utaiacha Juisi Yako Ipoe kisha Utakunywa Glass Moja Asubuhi na Jioni, kwa siku 3 hadi 5 hedhi itatoka, ukiona haijatoka basi shida itakuwa ni mvurugiko wa homoni, utapaswa kuchukua hatua zaidi za kimatibabu.
Ni jambo gani utaanza kulifanyia kazi leo.. niandikie kwenye comment hapo chini.
AsiliYetuAfrika, tunawasaidia wanawake na wanaume kutatua changamoto za afya ya uzazi
P.S
Kwa Mahitaji Ya HayalandMixedHerb [Dawa Asili Ya Kusafisha Mirija Ya Uzazi, Kuondoa Uvimbe, Kuondoa Fangasi, P.I.D na Matatizo Ya Chango na Hedhi] kwa Tsh 85,000 popote ulipo
Wasiliana nasi kwa Simu / WhatsApp 0757487684
Tunapatikana Machinga Complex, KARUME pia tunafanya delivery bure ukihitaji kuletewa.
Karibu AsiliYetuAfrika upate suluhisho la Magonjwa Ya Uzazi Yanayokusumbua
Comments
Post a Comment