MAHITAJI ;
i. Bakuli moja Kubwa la Mizizi ya Muembe.
ii. Bakuli moja kubwa la Mizizi ya Mgomba.
iii. Maji safi na salama kiasi cha lita tatu.
UANDAAJI
Chukua mizizi ya muembe, changanya na mizizi ya mgomba, weka kwenye sufuria kisha ongeza maji safi na salama kiasi cha lita mbili halafu chemsha mpaka mchanganyiko utakapoanza kutoa supu.
Chukua supu yako na uihifadhi kwenye chupa.
MATUMIZI:
Tumia kikombe kimoja cha chai cha dawa yako, mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni kwa muda wa siku kumi na nne utakuja kuleta feedback.....
_______
Kama huwa unabeba ujauzito halafu unatoka wenyewe, dawa hii husaidia sana kuimarisha fuko la uzazi na kubalansi homoni ya progestrone inayoshikilia ujauzito usiachie kabla ya miezi tisa.
Kama unasumbuliwa sana na changamoto za uzazi, tumia MIXED HERBS POWDER
Ni dawa yenye kukusaidia Mwanamke Mwenye Changamoto za Uzazi,
~Kuzibua / Kuondoa Uchafu kwenye Mirija
~Kutoa Makovu na Vivimbe kwenye Kizazi
~Kuondoa Fangasi, Infections / P.I.D sugu na
~Kurekebisha Mpangilio wa Homoni kwa Wewe Ambaye Hupati Hedhi Kwa Wakati, Unakosa Hisia, Ute na Changamoto za Kupata Mtoto
• Ni Dawa Ya Unga, unatumia Kijiko Kimoja kwenye Chai Yako, Kutwa Mara 3, kwa siku 21
Agiza dozi yako leo kwa Tsh 66,000 tu
Kuipata dozi yako,
Nitumie Ujumbe Wako Kwa Kuanza na Neno ASILI YETU AFRIKA kwenda namba 0757487684
Uniambie unataka kutibu nini ili nikupe ushauri na mambo ya kuzingatia wakati unatumia dawa
Ofisi Ya Asili Yetu Afrika ipo Machinga Complex, KARUME na tunafanya delivery bure popote ulipo
Tunawasaidia Mume na Mke kutatua Changamoto za Uzazi kwa kutumia tiba lishe
Comments
Post a Comment