• pH ni kipimo cha kuonesha jinsi gani kitu fulani kilivyo na kiasi cha acid au alkaline (base).
...... kipimo hiki kina viwango kuanzia 1 mpaka 14.
Kiwango cha pH chini ya 7 inamaana hicho kitu kina ACID na kiwango juu ya 7 Ina maana hicho kitu ni kina alkaline (base).
UKE UNAPASWA UWE NA pH YA NGAPI...?!
Kikawaida uke unapaswa kuwa na pH kati ya 3.8 hadi 4.5, Japokuwa inaweza kubadilika kutokana na umri.
Kwa mfano kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa (miaka 15 hadi 49) pH ya uke inapaswa iwe 4 hadi 4.5 ila siku chache kabla ya hedhi na baada ya ukomo wa hedhi inaweza kuwa zaidi ya 4.5.
KWA NINI pH YA UKE KUWA NDOGO INA UMUHIMU....?!
.......Kama tulivyoona pH ndogo inamaanisha acid hali ya uke kuwa na pH ya Acid inaukinga uke, inasaidia kuzuia wadudu kama bakteria na fangasi kukua kwa kasi na kusababisha magonjwa kama Fangasi za ukeni.
.......Uke ukiwa na pH kubwa kama tulivoona inayoelekea kwenye nyongo (base)/Zaidi ya 5 Inatengeneza mazingira mazuri ya bakteria na fangasi wa ukeni kukua kwa kasi bila mpangilio na kusababisha matatizo ikiwemo harufu mbaya ya uke
......Kuwa na pH kubwa inakuweka kwenye hatari ya kupata matatizo yafuatayo:
.....➡️BACTERIAL VAGINOSIS
Huu hutokea pale bakteria wabaya wanaoharibu uke wanapozaliana kwa wingi kuliko wale bakteria wazuri wanaolinda uke (lactobacilli).......Moja ya dalili ya ugonjwa huu ni mtu huyu kuwa na miwasho mingi sana....
......➡️YEAST INFECTION(FANGASI)
Hawa ni vimelea ambavyo huishi ndani ya uke lakini wanatakiwa wawe katika uwiano wa bakteria wazuri wawe wengi ili kudhibiti hawa fangasi. Moja ya dallili ya fangasi ni uchafu mweupe kama mtindi kutoka ukeni
.......➡️U.T.I [yutiai]
Hii hutokea pale bakteria wanapohama kutoka sehemu ya haja kubwa kuja mbele kwenye tundu la mkojo na kuanza mashambulizi yake.
Moja ya dalili za U.T.I ni kupata maumivu sana wakati wa kukojoa
Magonjwa yote haya matatu yanasababishwa ulinzi unapokuwa mdogo sehemu za uke.
Hivyo pH ndogo na bakteria wazuri ndio suluhu la changamoto zote hizi na zingine nyingi zinazotokea sehemu za siri za mwanamke. Ulinzi ukiwa mdogo ni rahisi kuambukizwa magonjwa ya zinaa kama vile trichmonoasis, p.i.d, u.t.i, kaswende, kisonono n.k.
• JE pH YA UKE IKIWA CHINI SANA INA MADHARA...?!
....Kama nilivyoeleza kikawaida uke wenye afya nzuri unapaswa kuwa na PH kati ya 3.8 hadi 4.5.
Ukiwa na pH chini ya 3.8 (inamaanisha uke wako utakuwa na kiwango kikubwa cha majimaji yenye asidi)
........Hii haisababishi magonjwa ila inapunguza uwezo wa kushika mimba kwa sababu mbegu za kiume zinaweza kuungua kabla ya kulifikia yai la mwanamke kwa sababu ya asidi inayokuwepo ukeni....
.... Kikawaida mbegu za mwanaume zinaweza kustaimili pH ya kawaida sawa na maji yaani PH kati ya 7.0 hadi 8.0 ndio maana wakati wa tendo la ndoa uke utengeneza ute ili kupunguza kiwango cha asidi ukeni ili mbegu zikiingia zisife pia Majimaji yanayotangulia kutoka kwa mwanaume (semen) huwa na kazi hiyo pia kupunguza hali ya acid ya uke.
Sasa kwa wale ndugu zangu ambao uke mkavu mwanzo mwisho, huenda ikawa ndio sababu ya kukosa kutunga mimba, mbegu za mwanaume zinakuta uasidi mwingi na kufa palepale
• VITU GANI VINASABABISHA pH YA UKE KUTOKUWA SAWA
.....MADAWA YA KUUA BAKTERIA (Antibiotics za kuingia ukeni)
Dawa hizi ndio maana hazishauriwi kutumika kiholela. Kwani mbali na kuua wadudu wanaosababisha magonjwa pia zinaua na bakteria wazuri wanaosaidia kuweka hali ya uke katika usawa.
....KUSAFISHA UKE HADI NDANI KWA KIDOLE (Douching)
Uke siku zote unajisafisha, uchafu uliopo kwa ndani hujisogeza hadi juu kwenye uke ili usafishwe. Unaposafisha uke kwa kuingiza kidole hadi ndani inasababisha kuondoa usawa wa pH ya uke. Ndo sababu unaambiwa kusafisha hivyo au kuingiziwa vidole ukeni sio salama kwani inapelekea kupata magonjwa kama fangasi za ukeni n.k.
....HEDHI
Damu inapokua inapita kwenye uke wakati wa hedhi inapelekea pH ya uke kuongezeka. Pia mabadiliko ya hormone hasa estroigen pia hupelekea pH ya uke kuongezeka na kupoteza hali ya acid ya kawaida ukeni. Ndo maana wengine mara nyingi anapokua katika kipindi hiki au siku chache baada ya kumaliza wanapata matatizo kama Fangasi za ukeni, U.T.I muwasho n.k (baada ya muda fulani miwasho huisha pale uke unaporudisha pH yake awali
TUONE DALILI ZA pH YA UKE KUWA JUU/KUPOTEA KWA HALI YA ACID YA UKE
↔Harufu mbaya ukeni, inaweza kuwa kama shombo la samaki
↔ Kutokwa na Ute wa kijivu, mweupe au njano
↔ Muwasho ukeni
↔ Maumivu wakati wa kukojoa
JINSI GANI YA KUONDOA TATIZO HILI
1. Epuka kusafisha uke hadi ndani
Sawa utaona inaondoa uchafu kwa sasa ila haikusaidii bali inaondoa zaidi hali ya asidi ya uke na kupelekea kuongeza tatizo la harufu mbaya ukeni
2. Pata matibabu ya Bacteria vaginosis
3. Kunywa maziwa mtindi
Mtindi una bakteria wazuri wanaosaidia kuweka uke katika hali yake wanajulikana kitaalamu kama PROBIOTICS, Unapokunywa mtindi inasaidia kuweka hali ya uke katika usawa na kukukinga na magonjwa kama fangasi za ukeni na vaginosis
4. Punguza kula vyakula vyenye sukari nyingi au hamira na vyakula vilivyokobolewa
AU UNAWEZA KUANDAA DAWA KABISA KAMA AMBAVYO NIMEKUWA NIKIKUFUNDISHA
Kama ndo mara ya kwanza unafahamiana na mimi basi wacha nikuandikie kwa faida yako
Fanya hivi:
Andaa
• unga wa maganda ya parachichi vijiko 2
• unga wa mbegu za mlonge vijiko 2
• unga wa maganda ya ndizi [mbichi/mbivu] vijiko 2
• unga wa habat soda vijiko 2
• unga wa kitunguu swaumu vijiko 2
• unga wa uwatu vijiko 2 [vitu hivi unaweza kuandaa mwenyewe au kuvitafuta katika maduka ya tiba asili]
Utachanganya dawa hizi kwa pamoja kwenye sufuria au kontena kisha mimina ASALI taratibu huku ukikoroga mpaka lita nzima iishe kama una blenda unaweza kutumia ili ikusaidie kuikoroga vizuri
* MATUMIZI
Utalamba vijiko viwili vya dawa asubuhi, mchana na jioni kama huna muda mchana basi tumia vijiko vitatu asubuhi na vijiko vitatu usiku…. Mfululizo kwa siku 14 mpaka 21 utakuja kunipa mrejesho wako
Kama unasumbuliwa sana na changamoto za uzazi, tumia MIXED HERBS POWDER
Ni dawa yenye inayokusaidia mwanamke....
~Kuzibua / Kuondoa Uchafu kwenye Mirija
~Kutoa Makovu na Vivimbe kwenye Kizazi
~Kuondoa Fangasi, Infections / P.I.D sugu na
~Kurekebisha Mpangilio wa Homoni kwa Wewe Ambaye Hupati Hedhi Kwa Wakati, Unakosa Hisia, Ute na Changamoto za Kupata Mtoto
• Ni Dawa Ya Unga, unatumia Kijiko Kimoja kwenye Chai Yako, Kutwa Mara 3, kwa siku 21
Agiza dozi yako leo kwa Tsh 66,000 tu
Kuipata dozi yako,
Nitumie Ujumbe Wako Kwa Kuanza na Neno ASILI YETU AFRIKA kwenda namba 0757487684
Ofisi Ya Asili Yetu Afrika ipo Machinga Complex, KARUME na tunafanya delivery bure popote ulipo
Tunawasaidia Mume na Mke kutatua Changamoto za Uzazi kwa kutumia tiba lishe
Comments
Post a Comment