Cha kwanza kabisa jitahidi kuwa mtu wa kunywa maji walau lita moja kwa siku
.....kunywa maji inakusaidia kukojoa na kuwaondoa baadhi ya bakteria au fangasi kutolewa nje kupitia mkojo
Chanzo kikubwa cha P.I.D na Changamoto za U.T.I na Miwasho ni Fangasi / Bakteria ambao tunaweza kuwapata iwapo kama tutavaa nguo zenye maambukizi ya fangasi/bakteria, kutumia maji machafu, vyoo au chafu chafu au kushiriki mapenzi bila kinga na mwanaume ambaye tayari ana fangasi/bakteria
....fangasi au bakteria wanaposhambulia uke na kukosa kuondolewa mapema, wao uendelea kuzaliana na kusambaa sehemu za ndani na kufanya uharibifu na hapo ndipo utaanza kuhisi dalili za muwasho au kuona uchafu wa njano (usaha) au kama maziwa mgando ukitoka ukeni ukiambatana na harufu....
....Fangasi / Bakteria hawa wakishambulia mirija ya uzazi, hupelekea mirija ya uzazi kuziba na dalili mojawapo ni kuhisi maumivu chini ya kitovu au maumivu kwenye nyonga hasa kipindi cha siku za hatari au siku za hedhi
....iwapo fangasi watasambaa mpaka kwenye vifuko vya mayai (ovari) utaambiwa una vivimbe katika vifuko vya mayai kitaalam utaambiwa una Ovarian Cyst
Dalili mojawapo ni kuhisi maumivu sehemu za nyonga
......endapo bakteria wasambaa kuelekea maeneo ya kibofu cha mkojo utaambiwa una U.T.I na dalili zake ni kukojoa mkojo wenye harufu, kupata maumivu wakati wa kukojoa na kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa
Ukiachana na maumivu ya nyonga, kuugua UTI, miwasho na kutokwa uchafu ukeni, Changamoto hii huweza kusababisha mvurugiko wa hedhi, kukosa ujauzito au mimba kuwa zinatunga na kutoka zenyewe yaani miscarriage
Nisikuchoshe kwa maelezo mengi, lengo kuu ni kukupa mbinu mbadala za kuhakikisha unaondoa changamoto hizi za fangasi/bakteria
...yaani
...uwe na uke msafi bila tatizo la maji yenye harufu wala muwasho
.....uishi bila maumivu ya nyonga
.....upate hedhi kila mwezi bila changamoto ya maumivu
....ufurahie tendo la ndoa ukiwa na hamu ya kutosha bila hofu ya maumivu wala michubuko
Jambo la kwanza nimesema pendelea kunywa maji walau lita moja kwa siku....
Jambo jingine la muhimu ni kubadili milo yako
.....Jitihada sana kadri utavyoweza, kuacha au kupunguza matumizi ya sukari sukari zisizo na ulazima kwa mfano hizi keki, biscuit, ice cream na sukari ya kawaida hivi vitu vinavyosababisha fangasi kuendelea kuzaliana, mkojo kuendelea kuwa mchafu, homoni kuvurugika na vivimbe kuongezeka kwenye via vya uzazi
.........sukari nzuri ipo kwenye matunda, asali na tende hiyo ndio sukari ambayo mwili wetu unaihitaji
.....Kingine cha kuzingatia ni kuacha au kupunguza vyakula vya kukobolewa mfano unga wa sembe, unga wa ngano mweupe, hii nayo haifai, inavuruga sana homoni za mwanamke...
➡️Kula nafaka ambazo hazikobolewa mfano dona, mkate wa brown, mchele wa brown na mwili wako utakuwa na afya njema ya kukabiliana na magonjwa madogo madogo kama yutiai
Asubuhi unaweza kuamka na kikombe cha maji kisha kamulia limao moja na kunywa, kama unayo siki ya tufaha (apple cider vinegar) unaweza weka kijiko kimoja tu katika maji na kunywa (sio lazima)
....Chai yako iunde kwa iliki, tangawizi, mdalasini, mdalasin, mchaichai (walau viungo vitatu kati ya hivyo kama huwezi kupata vyote) itakusaidia sana kuweka homoni sawa na kusafisha kibofu na via vya uzazi
Ratiba ya mlo wako sijui unakula nyumbani au mgahawanj ila jitahidi walau katika mlo wako iwe wa mchana au wa usiku basi weka na salad (kachumbari) ambapo kitunguu maji na kitunguu saumu vipe kipaumbele kwa sana katika kachumbari yako.
Kabla hujalala kunywa chai tena ndipo ulale. Utaratibu huu utakusaidia kutibu haraka tatizo wakati ukiendelea kutumia dawa zako
Atakayezingatia atapona, ukipuuza ni sawa pia tutaendelea kukutana hukuhuku kwenye magroup na hospitali 😂
Pia kuwa msafi wa nguo za ndani...
Unapohitaji kuzifua nguo
.....Chukua nguo za ndani zote zilowekwe kwenye maji (waweza kuziweka kwenye kisado au ndoo).
......Weka sabuni ya unga au dettol na uiache kwa nusu saa.
......Zifue na kusuuza kwa maji mengi kisha zianike juani mpaka zikauke kabisa.
......Kama msimu sio wa jua kali na huna uhakika kama nguo zako za ndani zimekauka vizuri unaweza kuzipiga pasi ili kuua vijidudu.
........Lengo la kufanya hivi ni kuua bakteria / fangasi
Au kama uwezo wako kifedha unaruhusu, tupa nguo zote za ndani na ununue mpya.
......Usafi huu hata kwa mwanaume ni muhimu na hakikisha mwanaume hana matatizo ya magonjwa ya zinaa na U.T.I maana anaweza kukuambukiza tena
Kama Tatizo Hili Limekuhangaisha Unaweza Kujiandalia Dawa hapo hapo ulipo nyumbani
Fanya hivi:
Andaa
• unga wa maganda ya parachichi vijiko 2
• unga wa mbegu za mlonge vijiko 2
• unga wa maganda ya ndizi [mbichi/mbivu] vijiko 2
• unga wa habat soda vijiko 2
• unga wa kitunguu swaumu vijiko 2
• unga wa uwatu vijiko 2 [vitu hivi unaweza kuandaa mwenyewe au kuvitafuta katika maduka ya tiba asili]
Utachanganya dawa hizi kwa pamoja kwenye sufuria au kontena kisha mimina ASALI taratibu huku ukikoroga mpaka lita nzima iishe kama una blenda unaweza kutumia ili ikusaidie kuikoroga vizuri
* MATUMIZI
Utalamba vijiko viwili vya dawa asubuhi, mchana na jioni kama huna muda mchana basi tumia vijiko vitatu asubuhi na vijiko vitatu usiku…. Mfululizo kwa siku 14 mpaka 21 utakuja kunipa mrejesho wako
Kama unasumbuliwa sana na changamoto za uzazi, ipo dawa nzuri ninayokushauri kuitumia, ni MIXED HERBS POWDER
Ni dawa lishe ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo
✓ Inakusaidia kusafisha via vya uzazi yaani inasafisha mira ya uzazi na fuko la uzazi ili kuondoa majimaji au uchafu na fangasi
✓ Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cyst)
✓ Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii inakusaidia pia kuondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kwa wale ambao mnapata tatizo la kukosa hisia, kuwa wakavu ukeni, period kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, mayai kutokupevuka n.k....
DOZI HII YA UZAZI, NAKUPA KWA TSH 66,000 tu POPOTE ULIPO
....hakuna gharama ya usafirishaji (free delivery)
Ninapatikana Machinga Complex, KARUME (Dar) na mkoani natuma kwenye Bus
Kwa ufafanuzi zaidi chukua namba yangu 0757487684 NITAKUSAIDIA KUKUELEZEA AMBAPO HUJAELEWA.
Ukiagiza dawa nikumbushe niku-ADD kwenye Group la Wanawake ambao ninawahudumia ili upate kujifunza zaidi pamoja nao dondoo za kila siku kuhusu namna ambavyo tunaweza kuzikabili changamoto hizi za uzazi kwa kutumia vyakula na mimea.
Wasiliana nami kwa kunipigia Simu / WhatsApp 0757487684
Ulikuwa nami Mwalimu wako
AsiliYetuAfrika
Ahsante kwa somo na hiyo dawa ipo kwa mfumo wa vidonge au unga2
ReplyDelete