TIBA YA SUNZUA / GENITAL WARTS SEHEMU NYETI

SUNZUA ni ugonjwa wa ngozi unao sababishwa na virusi vya aina ya HUMAN PAPILOMA kwa kifupi HPV ambapo huota kama vipele au vinyama, mara nyingi unapovitumbua ndo huongezeka vingine zaidi

Huambukizwa kwa njia ya kujamiiana na mtu alie na maambukizi ya ugonjwa huo, kwani virusi vya HPV vinaweza kuwa katika njia ya mkojo wa mwamaume hivyo anaweza kumwambukiza mtu anapomwaga mbegu, kugusanisha ngozi kwa mtu mwenye ngozi iliyo na warts sehemu za siri n.k

Baada ya maambukizi huchukua muda wa majuma kadhaa ndipo mtu anaweza akaona dalili za ugonjwa huo, Genital warts zinaweza kuwa ndogo sana na kufanana na ngozi ya mtu na hivyo ikawa ni ngumu kuziona kwa macho ya kawaida na ndio maana wanawake wengi hustuka ikiwa imesambaa mpaka katika mirija au shingo ya kizazi.

Kwa maelezo mengi tembelea timeline yangu au ukurasa wetu wa Afya Daily Tips, hapa nahitaji kukuonesha tu tiba mbadala kama una tatizo hili.

Njia hizi tatu mojawapo inaweza kuwa jibu zuri kwako, nimetoa njia tatu maana ngozi zetu hutofautiana katika kupokea matibabu hivyo ukikosa moja jaribu zinazofuata.

Aloe vera / Mshubiri

Mmea huu ni mzuri kwa afya ngozi kwa sababu ya uwepo wa Malic acid ambayo huweza kuilinda ngozi kwa kuua bakteria wabaya wanaoharibu ngozi.

  Chukua utomvu wa jani la mshubiri upake eneo ambalo limeshambuliwa na sunzua/genital warts kisha iache ikae kwa muda wa zaidi ya lisaa kisha osha eneo hilo kwa maji ya uvuguvugu. Fanya mara mbili kwa siku uone umefikia wapi.

2: Kitunguu Maji Au Vitunguu Saumu

Chukua kimojawapo kati ya hivyo kisha ponda ponda kiwe laini, chukua pamba na kukazie kwenye maji ya kitunguu ili inyonye maji kisha itoe na upake kwenye eneo lenye athari za warts kwa dakika kama ishirini jisafishe kwa maji ya uvuguvugu

3: Mnyonyo

Mafuta ya nyonyo pia yana uwezo wa kuzilinda ngozi, husifika sana kuona vivimbe vya haja kubwa/mgoro/puru/bawasiri au hemorrhoids kwa kiingereza.

Matumizi yake kwenye hizi warts kuchukua mafuta kiasi na kupakaa eneo lenye warts kwa muda wa nusu saa kisha kuosha eneo hilo kwa maji ya uvuguvugu....

Muhimu zaidi.

Hizi warts kama tulivyoona hapo mwanzo ni kwamba zinatokana na kupatwa na kirusi cha HPV ambacho husambazwa kwa njia ya ngono, zaidi kwa wenye kinga ndogo ya mwili.

Inakupasa kuwa na utaratibu wa kuupa mwili vitamin C na B kwa wingi ili kuhakikisha kinga ya mwili ipo imara kupambana na maradhi mbalimbali mwilini ikiwemo HpV

Vyakula kama binzari ya manjano, ndizi mbivu, karoti, spinach, nyama, mayai, samaki wabichi, nanasi, ubuyu, nazi na mimea jamii ya mikunde inauwezo mkubwa wa kusaidia kuimarisha kinga yako ya mwili.....

Endelea kujifunza, endelea kujitunza uishi kwa Afya Njema.

KAMA UNASUMBULIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA UZAZI NA UNAHITAJI KUZIONDOA KWA DAWA ASILI, 𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖 𝙙𝙖𝙬𝙖 𝙮𝙖 𝙈𝙄𝙓𝙀𝘿 𝙃𝙀𝙍𝘽𝙎 𝙋𝙊𝙒𝘿𝙀𝙍



𝙉𝙞 𝙙𝙖𝙬𝙖 𝙮𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙢𝙘𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖𝙣𝙮𝙞𝙠𝙤 𝙬𝙖 𝙙𝙖𝙬𝙖 𝙯𝙖 𝙖𝙨𝙞𝙡𝙞 𝙯𝙖 𝙪𝙯𝙖𝙯𝙞

....𝘿𝙖𝙬𝙖 𝙝𝙞𝙞 𝙮𝙖 𝙈𝙄𝙓𝙀𝘿 𝙃𝙀𝙍𝘽𝙎 𝙋𝙊𝙒𝘿𝙀𝙍 𝙞𝙣𝙖𝙨𝙖𝙛𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙢𝙞𝙧𝙞𝙟𝙖 𝙮𝙖 𝙪𝙯𝙖𝙯𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙤𝙣𝙙𝙤𝙖 𝙢𝙖𝙠𝙤𝙫𝙪, 𝙢𝙖𝙟𝙞 𝙢𝙖𝙘𝙝𝙖𝙛𝙪 𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙢𝙗𝙪𝙠𝙞𝙯𝙞 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙢𝙞𝙧𝙞𝙟𝙖 𝙮𝙖 𝙪𝙯𝙖𝙯𝙞

~ 𝙄𝙣𝙖𝙤𝙣𝙙𝙤𝙖 𝙪𝙫𝙞𝙢𝙗𝙚 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙠𝙞𝙯𝙖𝙯𝙞 (𝙊𝙫𝙖𝙧𝙞𝙖𝙣 𝘾𝙮𝙨𝙩), 𝙣𝙖 𝙪𝙫𝙞𝙢𝙗𝙚 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙛𝙪𝙠𝙤 𝙡𝙖 𝙪𝙯𝙖𝙯𝙞 (𝙁𝙞𝙗𝙧𝙤𝙞𝙙𝙨)

~ 𝙆𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙗𝙖𝙗𝙪 𝙣𝙞𝙢𝙚𝙞𝙘𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙧𝙚𝙝𝙖𝙣𝙞 𝙣𝙙𝙖𝙣𝙞 𝙮𝙖𝙠𝙚, 𝙙𝙖𝙬𝙖 𝙝𝙞𝙞 𝙮𝙖 𝙈𝙄𝙓𝙀𝘿 𝙃𝙀𝙍𝘽𝙎 𝙋𝙊𝙒𝘿𝙀𝙍 𝙞𝙣𝙖𝙠𝙪𝙥𝙖 𝙪𝙝𝙖𝙠𝙞𝙠𝙖 𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙧𝙚𝙠𝙚𝙗𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙢𝙯𝙪𝙣𝙜𝙪𝙠𝙤 𝙬𝙖 𝙝𝙚𝙙𝙝𝙞 𝙮𝙖𝙠𝙤, 𝙠𝙪𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙝𝙞𝙨𝙞𝙖 𝙯𝙖 𝙩𝙚𝙣𝙙𝙤, 𝙪𝙩𝙚, 𝙠𝙪𝙤𝙣𝙙𝙤𝙖 𝙢𝙖𝙪𝙢𝙞𝙫𝙪 𝙮𝙖 𝙝𝙚𝙙𝙝𝙞 𝙣.𝙠

𝙐𝙣𝙖𝙞𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙙𝙤𝙯𝙞 𝙝𝙞𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙏𝙨𝙝 66,000 𝙩𝙪 

𝙉𝙞𝙣𝙖𝙠𝙪𝙡𝙚𝙩𝙚𝙖 𝙥𝙤𝙥𝙤𝙩𝙚 𝙪𝙡𝙞𝙥𝙤 𝙗𝙪𝙧𝙚 (𝙛𝙧𝙚𝙚 𝙙𝙚𝙡𝙞𝙫𝙚𝙧𝙮)

𝘼𝙨𝙞𝙡𝙞𝙔𝙚𝙩𝙪𝘼𝙛𝙧𝙞𝙠𝙖, 𝙙𝙪𝙠𝙖 𝙡𝙚𝙩𝙪 𝙡𝙖 𝙩𝙞𝙗𝙖 𝙡𝙞𝙨𝙝𝙚 𝙡𝙞𝙣𝙖𝙥𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙈𝙖𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜𝙖 𝘾𝙤𝙢𝙥𝙡𝙚𝙭, 𝙆𝘼𝙍𝙐𝙈𝙀 𝙠𝙬𝙖 𝙬𝙖𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙬𝙖 𝘿𝙖𝙧 𝙚𝙨 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙖𝙢

𝙆𝙬𝙖 𝙢𝙖𝙝𝙞𝙩𝙖𝙟𝙞 𝙮𝙖 𝙙𝙖𝙬𝙖 𝙯𝙖 𝙪𝙯𝙖𝙯𝙞, 𝙪𝙨𝙝𝙖𝙪𝙧𝙞 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙚𝙠𝙖 𝙤𝙙𝙖 𝙣𝙞𝙥𝙞𝙜𝙞𝙚 𝙨𝙞𝙢𝙪 / 𝙒𝙝𝙖𝙩𝙨𝘼𝙥𝙥 𝙣𝙖𝙢𝙗𝙖 0757487684

𝙐𝙠𝙞𝙖𝙢𝙪𝙖 𝙄𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙚𝙠𝙖𝙣𝙖

 

Comments

  1. Asante Dr lkn nilikuwa nauliza kma unavyo vya uso hizi suzua tiba yke ipoje

    ReplyDelete
  2. Asantee kipenzi tunajifnza mengi Mungu akuweke kwa ajili yetu

    ReplyDelete
  3. Asante nmejifunza pia natafuta pesa npate hyo dawa MIXED HERBS POWDER

    ReplyDelete

Post a Comment