๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐
Leo nitapenda kushea nawe kile ambacho nimekuwa nawashauri wenzako wenye matatizo ya mirija ya uzazi na kupona kabisa
▪︎Mirija ya Uzazi (fallopian tubes) ni mirija miwili myembamba inayokuwa katika tumbo la uzazi, mrija mmoja upande wa kulia na mrija mwingine upande wa kushoto, mirija hii hulisaidia yai lililopevuka liweze kusafiri kutoka katika mfuko wa yai (ovary) mpaka kwenye kifuko cha uzazi katika kipindi cha siku za upevushaji (ovulation days/danger days)
~~Kitu chochote kinapojitokeza na kuzuia yai la mwanamke lisiweze kusafiri kutoka kwenye fuko la mayai (ovari) mpaka kufika kwenye kifuko cha uzazi (uterus), humfanya mwanamke kukosa kubeba mimba.
~hali hii ya mirija kuziba isipotibiwa mapema hukufanya kukosa mtoto (ujauzito) sababu yai hushindwa kufika kwenye mfuko wa uzazi kwa wakati sahihi kwa ajili ya upevushaji... Kuziba kwa mirija huweza kuliharibu yai kabla halijafika kwenye fuko la uzazi iwapo kama mirija ina maambukizi ya fangasi/bakteria au maji machafu pia huzuia mbegu za mwanaume kufikia yai lilipo unaweza kubaini mirija ina shida iwapo kama shahawa za mwanaume zinatoka nje ya uke dakika chache (5-10) mara baada ya kumwagwa ukeni (kupiiz mnaita)
Labda unajiuliza ni mambo gani yanaweza kufanya mirija yako ya uzazi kuziba...!
1. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile Pangusa, kisonono, kaswende, n.k
2. Utoaji mimba (Abortion) wa mara kwa mara kwa njia za kienyeji
3. Magonjwa ya maambukizi kama vile U.T.I sugu na Fangasi (P.I.D)
4. Hali ya kukua kwa uvimbe aina ya fibroid ambayo hupelekea kuziba nafasi ya mirija ya uzazi
5. Mimba kutunga nje ya kizazi na kusababisha upasuaji hali ambayo hupelekea michubuko au majeraha kwenye mirija ya uzazi ambayo hupelekea mirija kuvimba na kuziba
6. Hali ya kukua kwa uvimbe aina ya fibroids ambayo hupelekea kuziba nafasi ya mirija ya uzazi
Unaweza kubaini kama mirija yako imeziba mapema tu kwani huwa kunakuwepo na dalili za wazi kama vile;
1. Kutokwa na uchafu kama maziwa sehemu za uke na mara nyingi uchafu huu huwa na harufu ya kisamaki
2. Mimba kutunga nje ya kizazi (ectopic pregnancy)
3. Maumivu makali ya nyonga katika siku za hatari na maumivu makali mno wakati wa hedhi
4. Maumivu ya kiuno ama tumbo la chini mara kwa mara.
5. Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa au hata wakati wa kukojoa
Leo nakupa dondoo na tiba ambazo napenda uzizingatie ili uweze kuweka mirija yako vizuri.....
~ Ukipata Muda Asubuhi Unapoamka au Usiku Kabla Ya Kulala, Fanya Mazoezi Ya Kunyoosha Mwili Wako, Kama Huna utaratibu wa Mazoezi basi tenga muda wa kufanya zoezi la kunyoosha nyonga (๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐)
.....Jinsi ya kufanya zoezi hili ๐ฅ๐๐ฅ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฌ๐๐ค๐๐๐ฎ ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ ๐ฆ๐ข๐ค๐จ๐ง๐จ ๐ฒ๐๐ค๐จ ๐ข๐ค๐ข๐ฐ๐ ๐ข๐ฆ๐๐ง๐ฒ๐จ๐จ๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฅ๐๐ค๐๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฆ๐ข๐ ๐ฎ๐ฎ. ๐๐๐ซ๐๐ญ๐ข๐๐ฎ ๐ง๐ฒ๐๐ง๐ฒ๐ฎ๐ค๐ ๐๐ง๐๐จ ๐ฅ๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐๐ญ๐ข ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ค๐๐ฅ๐ข๐จ ๐ค๐ฎ๐๐ฅ๐๐ค๐๐ ๐ฃ๐ฎ๐ฎ
........ Tulia ukiwa juu hivo hivo kwa sekunde 30 kisha pumzika (shusha kiuno chini sekunde kadhaa) rudia zoezi hili mara 10 mpaka 15 kwa siku. Unaweza kufanya mazoezi haya unapoamka au unapokwenda kulala usiku maana hayahitaji pesa wala nguvu, ni utayari wako na mapenzi ya dhati juu ya afya yako. [kwa uelewa zaidi ingia youtube andika pelvic contraction utaziona video nyingi zenye kukufundisha jinsi ya kulifanya...]
Jambo jingine: ~๐๐๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐๐๐๐ฎ๐ญ๐ ๐๐ ๐๐ง๐ฒ๐จ๐ง๐ฒ๐จ.
.....Upande unaohisi maumivu chukua mafuta ya mnyonyo kujichua...
Yaani unachukua mafuta ya mnyonyo unapaka kwenye viganja na taratibu unachua /kukanda / sugua taratibu chini ya tumbo upande ambao unahisi maumivu walau kwa dakika 5 kila asubuhi na kila usiku muda wa kulala, hii inasaidia kulainisha mirija ya uzazi, kuruhusu mzunguko mzuri wa damu, kutoa mafuta, uchafu, makovu na dalili za vivimbe ndani ya mirija ya uzazi
~๐๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฆ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐๐ฃ๐ข ๐ณ๐๐ข๐๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ญ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ฎ ๐๐๐ฎ๐ฆ๐ฎ katika Mboga, Kachumbari au Hata kwenye Vinywaji Vyako Kama Juisi Kwa Sababu Kina Nguvu Kubwa sana ya Kuondoa Maambukizi Katika Mirija
~๐๐ข๐ง๐ณ๐๐ซ๐ข ๐๐ ๐๐๐ง๐ฃ๐๐ง๐จ, ๐๐๐ง๐ ๐๐ฐ๐ข๐ณ๐ข ๐ง๐ ๐๐ข๐ฅ๐ข๐ฉ๐ข๐ฅ๐ข ๐ก๐จ๐ก๐จ navyo ni viungo vizuri ambavyo husaidia mwili kufubaza vivimbe na vimekuwa na matokeo mazuri kwa wagonjwa wenye matatizo ya mirija kwani husaidia kuondoa makovu na dalili za mirija kujaa maji (hydrosalpinx) nakushauri kama utavipata vitumia...
Zaidi nakushauri kuacha kabisa au kupunguza kwa asilimia kubwa matumizi ya vyakula vyenye kutiwa sukari nyingi na vile vilivyokobolewa kama magonjwa ya uzazi yanakuandama mara kwa mara.
~Jitahidi kuwa mtu wa kula vyakula visivyotiwa mafuta mengi na hii itakusaidia mwili kutokuwa na mafuta mengi ya ziada mwilini (chorestrol)
~Ulaji wa matunda na mboga ni muhimu kwa ajili ya kila mwanamke kwani husaidia kubalansi homoni za mwili iwapo mzunguko wako wa hedhi haueleweki.
~Jilinde dhidi ya magonjwa ya Zinaa, P.I.D au Fangasi na Matatizo Ya U.T.I (yutiai) kwa usalama wa mirija yako.
Unaweza kuiflashi mirija yako ili kuondoa uchafu, makovu na majimaji yanayoweza kusababisha mirija yako kuziba kuwa kutumia ๐๐ข๐ณ๐ข๐ณ๐ข ๐๐ ๐๐ ๐จ๐ฆ๐๐ ๐ง๐ ๐๐ข๐ณ๐ข๐ณ๐ข ๐๐ ๐๐ฎ๐๐ฆ๐๐
MAHITAJI ;
i. Bakuli moja Kubwa la Mizizi ya Muembe.
ii. Bakuli Moja kubwa la Mizizi ya Mgomba.
iii. Maji safi na salama kiasi cha lita tatu.
UANDAAJI
Chukua mizizi ya muembe, changanya na mizizi ya mgomba, weka kwenye sufuria kisha ongeza maji safi na salama kiasi cha lita tatu halafu chemsha mpaka mchanganyiko utakapoanza kutoa supu.
Chukua supu yako na uihifadhi kwenye chupa au dumu
MATUMIZI:
Tumia glass moja ya dawa yako, mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni kwa muda wa siku14 mpaka siku 21 uone mabadiliko
Kama huwa unabeba ujauzito halafu unatoka wenyewe, dawa hii pia husaidia sana kuimarisha fuko la uzazi na kubalansi homoni ya progestrone inayoshikilia ujauzito usiachie kabla ya miezi tisa.
Ni hayo tu kwa leo, ukiamua kuzingatia ninaamini utaona matokeo mazuri kama wale wanaotoa shuhuda kupitia masomo nayotoa kupitia platform hii....
_________________
Kama una changamoto mbalimbali za uzazi, nakushauri kutumia dawa ya ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
Ni dawa ambayo tumeaindaa kwa kutumia mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo
➡️ Inakusaidia kusafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi ili kuondoa majimaji au uchafu na fangasi
➡️ Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cyst)
➡️ Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii inakusaidia pia kuondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kwa wale ambao mnapata tatizo la kukosa hisia, kuwa wakavu ukeni, period kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, mayai kutokupevuka n.k....
Dozi unapata kwa Tsh 66,000 mkazi wa Dar es salaam (free delivery)
Napatikana Machinga Complex, KARUME
Simu / WhatsApp 0757487684
___________
๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐....
Kwa Msomaji na Mfuatiliaji wa Mafundisho Yangu, nakupa dozi hii kwa ๐๐ฌ๐ก ๐๐,๐๐๐ tu popote ulipo.
Kupata ofa yako ya leo, nitumie neno ๐๐ ๐ ๐๐ ๐๐๐๐ kwenda namba ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Comments
Post a Comment