JINSI YA KUTUMIA OVULATION KIT

OVULATION KIT ni kipimo ambacho kinakusaidia kutambua kama umekaribia au tayari upo kwenye siku za uzazi (siku za kupata mimba)

Kipimo hiki kinakusaidia wewe ambae unatafuta mtoto ila hufahamu siku zako za hatari na hedhi yako haina mpangilio maalum

Kipo kama kipimo cha mimba (HCG test) na upimaji wake ni vilevile unavyotumia (HCG test)

Kipimo hiki huonesha wingi wa homoni ya lutein ambayo iwapo upo kwenye siku za hatari au unakaribia siku hatari, homoni hii ya lutein huwa nyingi sana kwenye mkojo ikiashiria kuwa yai limeshuka tayari kwa ajili ya kupata ujauzito

Jinsi ya kukitumia ni simple sana, 

Ukimaliza hedhi kila siku (Asubuhi na Usiku) unachukua kipimo kisha unakikojolea au unaweza kuweka mkojo kwenye chupa au kifaa kisha unadumbukiza kipimo, ndani ya dakika kumi kipimo kitakuwa na majibu

•Kama kitasoma mstari mmoja hiyo inamaanisha ni NEGATIVE (Haupo Siku Za Hatari)

•Kama kitasoma mistari miwili maana yake ni POSITIVE [Yai Limeshuka na Upo Tayari Kupata Mtoto]

 Muda mzuri wa kupima kipimo hiki ni kuanzia mida ya saa nne asubuhi mpaka saa mbili usiku

Kipimo hiki kinauzwa katika famasi, jina ni hilo hilo OVULATION KIT

Kama una matatizo ya kutoona siku kwa zaidi ya miezi, ni vyema sana kupima hospital kujua nini chanzo cha tatizo hilo, kama utaambiwa una matatizo ya Mvurugiko wa Homoni (Homoni Imbalansi), unaweza kujitibia mwenyewe ..

  ~ Nenda Yale Maduka Ya Tiba Asili Utafute

   • Unga wa Mrehani [basil leaves powder] robo kilo

   • Unga wa habat sawda (black seed), robo kilo

   • Unga wa mbegu za uwatu (fenugreek) robo kilo na Unga wa mizizi ya Mkunde pori robo kilo.

Utachanganya kwa pamoja dawa hizi kwenye bakuli moja, uwe unatumia unga wa mchanganyiko wa dawa hizi kijiko kidogo kimoja kwenye chai, uji, au maji moto tumia mara tatu kwa siku, kwa wiki 3 utapona kabisa changamoto za hedhi na homoni kwa ujumla ✓

Pia kama una matatizo ya hedhi nakushauri kupunguza matumizi ya sukari za viwandani, vyakula vya kukaangwa kwa mafuta mengi, nafaka za kukobolewa na matumizi ya vilevi kwa sababu haya ndio hufanya homoni kuvurugika, kuota vivimbe na matatizo ya infections....

......Jipe ulaji mzuri wakati ukiendelea kutumia tiba yako.

Kwa matatizo mbalimbali ya uzazi, tumia dawa asili ya 𝐌𝐈𝐗𝐄𝐃 𝐇𝐄𝐑𝐁𝐒 𝐏𝐎𝐖𝐃𝐄𝐑

Ni dawa ambayo imeandaliwa kwa kutumia mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo

• Inakusaidia kusafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi ili kuondoa majimaji au uchafu na fangasi

• Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cyst)

• Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii inakusaidia pia kuondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kwa wale ambao mnapata tatizo la kukosa hisia, kuwa wakavu ukeni, period kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, mayai kutokupevuka n.k....

Dozi hupatikana kwa Tsh 66,000

Kwa msimu huu wa sikukuu unaweza kuagiza dozi yako kwa PUNGUZO ambapo tunatoa dozi hii kwa TSH 39,000 tu popote ulipo

Tupo Machinga Complex, KARUME

Zaidi unaweza Kuwasiliana nasi kwa Simu / WhatsApp 0757487684

Kupata Ofa Yako tuma ujumbe wenye neno OFA YA SIKUKUU kwenda namba 0757487684



Comments