Majani Ya Mbaazi kwa Mama Aliyejifungua / Mimba Kuharibika

~Husaidia kusafisha na kuondoa uchafu katika tumbo la uzazi baada ya kujifungua, pia kama umeshajifungua au mimba imeharibika ila bado unahisi maumivu ya tumbo, hii ni njia mbadala ya haraka ya kukupa nafuu na kukuponesha kabisa.

Namna Ya Kuyatumia ni simple sana, CHUMA MAJANI KIASI KISHA CHEMSHA KWENYE KIASI CHA MAJI ikipoa weka kwenye kikombe kimoja kidogo cha chai na unywe asubuhi, mchana na jioni.

Ni vyema mgonjwa uwe umeshakula na kushiba kabla ya kunywa dawa hii maana ina nguvu

FAIDA ZA ZIADA ZA  KUTUMIA MAJANI YA MBAAZI

• Kukausha uke wenye maji mengi kupitiliza

• Kuongeza joto ukeni wakati wa s*x

• Kuongeza hamu ya tendo la ndoa (kwa wanawake wasio na hamu ya kushiriki faragha)

• Husogeza kizazi karibu

• Kusafisha kuta za uke

Endelea kujifunza na kuchukua hatua, hakuna kinachoshindikana iwapo utachukua hatua

Kama una changamoto mbalimbali za uzazi, tumia dawa ya MIXED HERBS POWDER

Ni dawa ambayo tumeaindaa kwa kutumia mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo

➡️ Inakusaidia kusafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi ili kuondoa majimaji au uchafu na fangasi

➡️ Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cyst)

➡️ Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii inakusaidia pia kuondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kwa wale ambao mnapata tatizo la kukosa hisia, kuwa wakavu ukeni, period kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, mayai kutokupevuka n.k....

Dozi unapata kwa Tsh 66,000  mkazi wa Dar es salaam (free delivery)

Ninapatikana Machinga Complex, KARUME

Simu / WhatsApp 0757487684

___________

Comments