[Jinsi Ya Kuhesabu Umri wa Mimba na Kujua Siku Za Makadirio Ya Kujifungua]
Hili ni somo ambalo kila mwanamke linamfaa kwa ajili ya kujiwekea mazingira mazuri katika safari ya maisha yake ya uzazi na ndoa kwa ujumla...
Kwanza nikujuze kwamba Mimba inahesabiwa kwa wiki na sio miezi.
Kwa ujumla mimba ya binadamu ni wiki 40 ambayo tunasema miezi 9. Mimba inahesabiwa kwa wiki kwa sababu kila wiki kuna mabadiliko mapya ya ukuaji wa mtoto tumboni, Hivyo ili kufatilia ukuaji wa mtoto tumboni wataalam wa afya dunia nzima huwa wanahesabu mimba kwa wiki sio mwezi.
•Ni lini mimba inaanza kuhesabiwa??
~Mimba inaanza kuhesabiwa tangu siku ya kwanza ulipoanza kuona siku (damu/bleed) kwenye hedhi yako ya mwisho. Hiyo ni kwa sababu huwa hamna uhakika hasa wa mimba imeingia lini, hivyo wataalam, huwa wanatumia siku hiyo ya kwanza ya period ya mwisho kama ndo siku ya kwanza ya mimba. Kuna wanaosema, "Mimi najua kabisa siku fulani yai lilipevuka na ndo nili-do, kwa hiyo najua mimba imeingia siku gani." SIO KWELI, hujui siku sahihi ambayo mimba imeingilia.
Maana wewe kujua siku ya ovulation na ku-do siku hiyo haimaanishi mimba ndo ilinasa siku hiyo. Inawezekana kabisa mbegu za kiume zilibaki zinazungukazunguka kwa siku 2 hadi 3 kabla hazijaliona yai la kike. So, kiuhakika, mimba inahesabiwa kama nilivyoelezea.
SIKU YA MAKADIRIO YA KUJIFUNGUA
Naomba usome tena kichwa cha habari, inaitwa siku ya makadirio, sio ndo yenyewe! Hiyo huwa ni siku ya mwisho ya wiki ya 40, ila kikawaida mtoto anakuwa tayari kutoka kuanzia wiki ya 38, (ndio maana utasikia wanawake waliokwisha kujifungua wanasema uzao wa kwanza unawahi yaani wiki ya 38 au ya 39 unaweza kujifungua na ni kweli maana mtoto anakuwa tayari) siyo wote inakuwa hivi, wanawake wengine ujauzito au mtoto ana anaweza akapendelea kuendelea kukaa hata hadi wiki ya 42. Kwa hiyo mama jiandae, wiki 2 kabla anaweza kutoka, pia jiandae kisaikolojia, maana tumbo huwa ni zito sana mwishoni, unaweza ukalia siku nzima uchungu lakini hamna kitu, wiki inakatika hola, ' mpaka ukajiuliza Jamani huyu mgeni haji'...
Kikawaida ni asilimia 20 tu ya mimba ndio wanaojifungua siku ile ile ya makadirio.
Kama wewe ni mpenzi wa kutumia simu janja basi hii ni dondoo muhimu kwako...
Yale maswali ya Dr. niangalizie nipo wiki ya ngapi suluhu lipo mkononi mwako, Naamini unatumia smartphone. Sasa basi nenda play store kwenye kisehemu cha search andika pregnancy calculator. Zitakuja app nyingi.
Chagua unayotaka kisha sanikisha (install), ukiifungua ingiza tarehe zako za period yako ya mwisho itakupigia mahesabu na kukuambia uko wiki ya ngapi na siku yako ya makadirio.
Usikose kumjulisha na baba k ili ajipange....
Congole kwa wote mliofanikiwa kubeba ujauzito kupitia tips nazotoa na dawa ya MIXED HERBS POWDER
_______________
Kama una changamoto mbalimbali za uzazi, tumia dawa ya MIXED HERBS POWDER
Ni dawa ambayo tumeaindaa kwa kutumia mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo
➡️ Inakusaidia kusafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi ili kuondoa majimaji au uchafu na fangasi
➡️ Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cyst)
➡️ Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii inakusaidia pia kuondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kwa wale ambao mnapata tatizo la kukosa hisia, kuwa wakavu ukeni, period kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, mayai kutokupevuka n.k....
Dozi unapata kwa Tsh 66,000 mkazi wa Dar es salaam (free delivery)
Ninapatikana Machinga Complex, KARUME
Simu / WhatsApp 0757487684
___________
Comments
Post a Comment