AINA ZA UTE KATIKA UKE NA MAANA ZAKE

 

Kwa kawaida uke wa mwanamke huwa sio mkavu nyakati nyote, ute unatoka kulingana na nyakati za mzunguko wako na huwa na maana zake,,,, ili mradi tu usiwe na harufu wala muwasho.

Katika somo la leo nitapenda kukushirikisha aina mbalimbali za uchafu unaotoka ukeni na maana zake

•Wakati wa hedhi kuna kuwa na uchafu wa hedhi tu na hiyo ni kawaida wala usiogope ila uogope uchafu huo iwapo kama utakuwa unatoka ukiwa kama nyama nyama, kamba au mabonge mabonge  yenye kutoa harufu na ni ya mara kwa mara kwa sababu huwa ni ishara ya mvurugiko wa homoni, chukua tahadhari pia iwapo utakuwa na bleed inayotoka muda mrefu zaidi ya siku 7.

Kabla hujaingia au wakati upo kwenye siku zako za kushika mimba pia hutokea ute kama yai bichi. Ute huu pia usiuogope labda kama ute huo unakuwa kama maziwa mtindi au rangi ya njano na pia unatoa harufu.

Kama ni mweupe kawaida na hauna harufu na unatokea siku za kupata mimba basi huo ni ute wa kawaida kabisa. Kwa hiyo uchafu wowote unaojitokeza ukeni lazima u-utofautishe katika makundi yafuatayo:

1- Je ni uchafu umetokea muda gani mfano uchafu unaotokea muda wa hedhi, mwingine utatokea muda wa siku za uzazi au mwingine unakutokea muda na siku yeyote tu.

2- Je uchafu huo una rangi gani na ukoje? Uko mweupe na mgumu kama maziwa mtindi au maji maji kama wa ute wa mayai? >>Unanuka na una rangi ya njano? Kama ndio huu ni ugonjwa.

3- Je ni uchafu wa damu kuchanganyikana na vitu vya nyuzi nyuzi vyeupe? Huuni uchafu wa hedhi au mimba

Wote huo ni uchafu lakini unatakiwa sasa ujue uchafu upi ni wa kawaida, uchafu upi ni ugonjwa na uchafu upi ni wa mimba. Na uchafu upi ni wa mabadiliko ya mwili kutokana na kuwa mjamzito (Hili somo tutakuja siku ingine Mungu jalia uzima)

1. UCHAFU WA KAWAIDA – Huu hauna harufu (huitwa utoko) unakuwa kama ule udenda wa asubuhi unapoamka. Huna sababu ya kuwa na wasiwasi nao, oga vizuri na jinawishe kwa maji safi kila unapokwenda msalani. Uchafu huu hujitokeza hasa unapokuwa umeamka asubuhi, kukaa muda mrefu au pale unapokuwa anataka kubadili nguo yako ya ndani unakuta vitone katika nguo. WORRY NOT.

2. KUNA UCHAFU WA HARUFU MBAYA KAMA SHOMBO NA UNA RANGI YA NJANO NA MGUMU KAMA MTINDI – huu ni ugonjwa wa fangasi. Fangasi hutokana na homono imbalance yani uke wako hauko sawa, aidha uke wako ni mchachu sana au ni mchungu sana, kiasi cha kwamba uwiano wa wadudu wabaya na wazuri katika uke wako sio mzuri. Kumbuka uke una wadudu wazuri wengi na wabaya wachache. Ambao hufanya kazi zao za kurekebisha uke kila siku. WANAUME baadhi wamethibitisha jambo hili kwa kupatwa na uume wenye rangi ya chokaa na harufu mbaya mara baada ya tendo la ndoa.

UCHAFU WA RANGI YA BROWN, UGORO AU ZAMBARAU - huu pia unaweza kuwa dalili ya ugonjwa au mimba kuharibika, au kuvia damu ya bleed ndani, yaani damu ya bleed inakuwa haikutoka ikaisha yote wakati unamaliza bleed yako. Bado kama uchafu huu utakuwa unatoka mwingi na kama utakuwa na harufu mbaya iyo sio dalili nzuri kwa afya yako ya uke.

UTATUZI WA TATIZO LA UCHAFU WA UGONJWA

Dawa zipo nyingi sana za kutibu fangasi zipo za kienyeji, tiba mbadala na za hospitali. Lakini pia jizoesha kunywa maji mengi na matunda ili kusafisha mwili na kuondoa sumu mwilini.

Kuna msururu wa dawa nyingi sana zinatangazwa  mtaani / social media, ndugu yangu hakikisha umepata ushauri wa kidaktari kabla hujameza dawa yako. Maumivu ya kawaida yanaweza kutoweka kwa kunywa painkillers tu kama utaelekezwa vizuri na daktari wako. Hii ni kwa ajili ya kuondoa maumivu lakini sio kwa ajili ya kuponya ugonjwa unaoleteleza maumivu hayo,

MATOKEO YA KUWA NA WADUDU WABAYA UKENI

1- Kuna uwezekano mkubwa wa kupata UTI

2- Kuna uwezekano mkubwa sana wa kupata FANGASI 

3- Kuna uwezekano mkubwa sana wa KUCHUBUKA UKENI

4- Kuna uwezekano mkubwa sana wa kuharibika MLANGO WA KIZAZI

5- Kuna uwezekano mkubwa sana wa kupata PID

3. MAUMIVU UKENI KUTOKANA NA UCHAFU UKENI – Maumivu pia ya ukeni unatakiwa uyatofautishe ndio utajua unayoshida gani. Kuna maumivu yanayokupata wakati tu unafanya tendo la ndoa na wakati unakojoa na maumivu hayo yapo ukeni tu (HIYO NI KWAMBA UNA FANGASI) wameshashambulia sana kuta za uke mpaka sasa unakuwa unapata maumivu makali. Hatari ya kuendelea kutokutibu maumivu haya ni fangasi kuanza kushambulia mlango wa kizazi. KUMBUKA >> Maumivu haya ni yale unayasikia kwenye uke na sio tumbo la uzazi. Ni maumivu ya kama kutonesha kidonda au kuchoma, sio ya kuvurugu na kukaza kama yale ya tumbo la uzazi.

4. MAUMIVU KWENYE KIUNO NA TUMBO LA CHINI

Haya ndio maumivu wanayopata wanawake wengi sana, haya ni maumivu ya bleed au hedhi wengine huuma hadi mgongoni. Ikiwa unaumwa umwa tu muda wowote hata kama hauko bleed basi hayo sio maumivu ya hedhi unaweza kuwa ni uvimbe na au kidonda mahali kipo. Tumbo la chini huuma kwa sababu misuli ya tumbo la uzazi huanza kukaza sana kutokana na kupokea taarifa nyingi ya kufanya hivyo kutoka kwenye mfumo wako wa homoni ndio mana ukiwa unaumwa tumbo la uzaz sana wakati wa hedhi ukienda kupima lazima utakuta homoni zako za uzazi hazijabansi. Maumivu haya kama tulivyosema katika somo lililopita huwa ni ya kawaida kiasi ya kwamba unaweza endelea na kazi zako za kawaida kwa siku. Inapokuwa maumivu ni makubwa sana kiasi cha kushindwa kufanya kazi zako za kawaida basi inafaa uwasiliane na daktarin wako.

5. MAUMIVU YA MUDA WOTE ULE HASA INAPOKUWA KAMA UMEGANDAMIZA NA KITU – huo ni uvimbe wa uzazi, na uvimbe unaweza kuwa sehemu yeyote ile katika mfumo wako wa uzazi yaani kwenye ovaries, kwenye mji wa mimba au kwenye uke au kwenye mlango wa kizazi. Maumivu haya utayasikia hasa wakati wa tendo la ndoa na pia wakati wa hedhi kwa kuwa misuli inakuwa sasa inafanya kazi ya kutanuka na kusinyaa. Uvimbe wowote unatibika kwa dawa na operation, kama tulivyosema mwanzo onana na daktari au mtabibu wako

NJIA ZA JUMLA NA ASILI KWA AJILI YA KUKUKINGA NA HARUFU MBAYA UKENI, KUZUIA MAUMIVU NA KUONDOA UVIMBE

1- Tumia pedi salama na pedi za pamba

2- Tibu UTI mapema sana kabla haijawa sugu

3- Tibu fangasi mapema kabla hazijaenea

4- Fanya usafi wa mara mara ukeni kwa kutumia maji safi na sabuni ya kawaida, usiingize vitu vya ajabu ajabu ukeni.

5- Badilisha nguo za ndani mara kwa mara

6- Ukienda chooni tumia tishu paper kwa kuiweka chini ya sakafu ya choo kabla hujajisaidia (mkojo) ili kuzuia maji na uchafu kukurukia tena ukeni, wakati wa kujitawadha angalia haja kubwa isije fikia ukeni.

7- Kubalansi homoni na kuondoa sumu mwilini tumia chakula rahisi kabisa – tengeneza juice ya Karoti, Tango na Embe unaweza weka mint kama utazipata, usiweke sukari…. Tafuta maembe yenye utamu wa kutosha tu basi.

8- Kwa matibabu bora ya kuondoa sumu mwilini na kubalansi homoni na kuondoa harufu mbaya ukipata dawa yeyote yenye garlic (vitunguu swaumu) itakufaa sana au andaa dawa yako ya asili natumai nimeshafundisha.

KUNA WENGINE WANATOKWA MAJIMAJI MENGI UKENI MPAKA YANABOA, WAO WAFANYEJE.....?!

Upo zako chini umekaa au unatembea ghafla uhisi umeloa... Mbio mbio unahisi period imeanza kutoka ila unakutana na maji tu....!

Au unashiriki tendo la ndoa, maji yanatoka mpaka unahisi anaboreka kwa wingi wa maji hayo....

Nimekutana na maswali hayo kwa baadhi ya wanagroup leo nawapeni formula hii nyepesi

Kwanza nikufahamishe kuwa kutokwa na maji maji ukeni ni jambo la kawaida isipokuwa kama kuna muwasho na harufu hapo tatizo linakuwepo.maana inaweza kuwa dalili ya fangasi/bakteria kushambulia via vya uzazi.

Ila kama mwanamke unatokwa na maji mengi ukeni kiasi cha kuvaa pedi au yanatoka.mengi kiasi unayaona ni kero basi itumie formula hii.

Chukua glass moja ya maji ya dafu kisha kamulia limao moja au mawili

Utakunywa glass moja kwa siku, mfululizo kwa siku 7 kisha utajisikilizia matokeo.

 Nikukumbushe: Acha kuosha k kwa sabuni au kutia manukato sehemu nyeti (wengine mnaweka hadi pipi kifua siku hizi, kansa tunazitaka wenyewe)

Muhimu Wewe Kama Mwanamke EPUKA:

👉🏻 Vyakula au Vinywaji Vyenye Kutiwa Sukari Nyingi kama Soda, Ice Cream n.k

👉🏻 Vyakula vya kukobolewa kama Ugali Sembe, Mkate Mweupe.

👉🏻 Punguza kula Vyakula vya Kutiwa Mafuta mengi mfano Chipsi, Nyama za Ku-roast n.k

PENDELEA ZAIDI

👉🏻 Matunda, Mboga Za Kijani na Maji walau lita Moja kwa Siku

Pendelea sana kutumia Iliki, Kotimiri, Vitunguu, Tango, Parachichi, Bamia, Karoti, Tangawizi, Papai, Msusa (Majani Ya Maboga), Mdalasini, Asali mbichi, Apple, Mbegu za Maboga kutaja machache.

Kama una magonjwa ya uzazi na unataka dawa ya kukusaidia kupona, nakushauri utumie dawa ya MIXED HERBS POWDER

Ni dawa lishe ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo

✓ Itakusaidia kusafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi ili kuondoa majimaji au uchafu na fangasi

✓ Itakuondolea makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cyst)

✓ Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii itakusaidia pia kuondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kama unapata tatizo la kukosa hisia, kuwa mkavu ukeni wakati wa tendo, period kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, mayai kutokupevuka n.k....

Dozi hii ya uzazi, nakupatia kwa Tsh 66,000 Tu. POPOTE ULIPO

....hakuna gharama ya usafirishaji (free delivery)

Ninapatikana Machinga Complex, KARUME (Dar) na mkoani natuma kwenye Bus

Unaweza kuweka oda yako muda wowote, nipigie kwa namba yangu ya simu / WhatsApp 0757487684

Comments